Hapana mkuu alimpa Simba ashinde kipindi Cha kwanza lakini wametoka zero
Hapana hiyo ni handicap kaka sio HT au 1H win. Handicap ni mfumo wa kuipa timu goli na kunyang'anya nyingine. Alichagua 2 (1:0) ikiwa na maana kwamba away ambaye ni Simba ashinde kwa kumnyang'anywa goli 1. Au kifupi ni kwamba Dodoma wakati mpira unaanza alikuwa anaongoza 1-0 dhidi ya Simba. Hiyo ndiyo maana ya Handicap. Kwa hiyo matokeo ya FT: 1-2 na kwa kuwa alimpa Simba ushindi maana yake ni kuwa lile goli ulilompa away + goli alilofunga, FT inakuwa 2-2 ambayo ni droo. Hiyo ndiyo maana ya Handicap mzee wangu, tuishi humo
 
Mkuuu ongera naona imetoa mkuu
Hapo ni draw coz ulimpa DODOMA goal 1 la bure kabla hawajaingia uwanjani, kisha simba ashinde.
kwa hiyo hapo matokeo ni
DODOMA 2-2 SIMBA
Ili mkeka utiki ilikuwa ni lazima simba amzidi dodoma goal 2 na zaidi mfano
1-3, 2-4, 3-5 nk kwa sababu dodoma ulishampa goal la bure.
 
Heshima yenu wakuu..naomba mwenye group la wazee wa kuweka mikeka..anisaidie kuniunga upande wa watsapp..

natanguliza shukrani za dhati
 
Nimedeposit 22bet na pesa imeenda ila 22bet haijafika
Nawasiliana nao naona wamepiga kimya

Kuna mwenye uzoefu na hili?
 
Nimedeposit 22bet na pesa imeenda ila 22bet haijafika
Nawasiliana nao naona wamepiga kimya

Kuna mwenye uzoefu na hili?
Wasiliana na MLIPA wataisukuma fasta. Namba zao google MLIPA au DATAVISION INTERNATIONAL.
 
Mwendo wa kona odd 9
Screenshot_20210205-131437_1xBet.jpg
20210205_132340.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom