Kuna muda huwa mambo yana goma kabisaaa
Kuna muda unapiga mpunga safiii

Ups and down zipo mkuu
Ni sawala la kujua pia ni wakati gani ubet na wakati gani upumzike

Hebu wadhamini Simba na Liverpool direct win kwa 100k
Vp mkuu uliweka parefu?
 
Kuna muda huwa mambo yana goma kabisaaa
Kuna muda unapiga mpunga safiii

Ups and down zipo mkuu
Ni sawala la kujua pia ni wakati gani ubet na wakati gani upumzike

Hebu wadhamini Simba na Liverpool direct win kwa 100k
Umenikumbusha Wimbo wa The Gambler,
Kenny Rogers
 
Kuna muda huwa mambo yana goma kabisaaa
Kuna muda unapiga mpunga safiii

Ups and down zipo mkuu
Ni sawala la kujua pia ni wakati gani ubet na wakati gani upumzike

Hebu wadhamini Simba na Liverpool direct win kwa 100k
Bado umeshikilia liver kaka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom