Tupia vitu humu humu mkuu
Twende pamoja
Screenshot_20200713-085246.jpeg
 
BREAKING NEWS!Tsh 288,974,720 ya JACKPOTImepata MSHINDIBONUS na Matokeo ni2,X,2,X,1,1,2,1,2,2,2,X,1Mechi 10:Tsh 791,592Mechi 11:Tsh 3,878,805
 
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya betika ni matapeli lakini bodi ya bahati nasibu bado ina wacheki tu.
1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja.

2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha hata ukachezaa ujue huwezi kuitoa hata iwe elfu moja haitoki inabaki kwao.

3.Pòoor customer care, ukipiga tu simu wanakudanganya, afu wanakuwa wakali ukionesha kutoelewa jibu flani.

4 .Wanamasoko mazuri ili wakukamate.

Mnao beti au kubashiri acheni mara moja kutumia kampuni hii mnatapeliwa !.

Serikali iingiilie kati hawa ni DECI MPYA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom