Habari wakuu wa Jamvi hili la JF
Ligi nyingi za mpira wa miguu duniani zimesimamishwa kutokana na Janga hili kubwa la Corona. Kutokana na janga hili makampuni mengi ya michzo ya kubashiri (Betting) yamekuja na mchezo mwingine unaitwa Simulated Reality League.

Kwa wataalamu wa haya mambo tupeane uzoefu namna ya kutengeneza mikeka na kupunguza ukali wa maisha hasa katika kipindi hiki cha kujiweka karantini.
"Stay home, Stay Safe"
Wizi tu hakuna kitu huko,subiri ligi zirudi
 
Leo nilotest hizo srl game tatu nikamix na Belarus game mbili odds 6 nikastake ka 9k aisee srl.mmpja kaenda sare nilocheza normal
 
Airtel Laini Hazipokei Mtonyo, Zinalipa Tu

Cha Kufanya Weka 20 Kwa Kutumia Wakala Wetu Hawa

Then Cheza Tena Ikifika Hata 50k Jaribu Kutoa Kwa Wakala.

Lakini Pia Tusaidie Wapwa Zako Ulikuwa Unacheza Mchezo Gan Na Ulitumia Mbinu Gani?

Regards

Mtwara Smart

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa,,, iliporudi tu nikaendeleza iko laki na themanini na tatu. Kumbe napiga kazi bure.
Mkuu, nabet esports, kuna 4x4 England championship, ukicheki strong team anacheza na underdog, weka first half over 3.5 inatoa. Au vinginevyo. Lakini pia kuna ubutuaji wa penati, ukifuatilia sana utaona timu ambayo Ina odds chache lazima inascore goli lake la kwanza na unakuta imetengewa Kuanzia 1.4.
Shughuli ndo hyo tu kwenye karantini yanguhapa
 
Faru Kabula naona unamgaragaza mbaya..tupe siri mkuu..wengine tuko likizo ndefu! Nimechungulia humu naona mambo yako si mabaya..vipi analika kama unavyotuaminisha au?
 
Kuna kipindi nilikuwa na laji na kidogo melbet ambayo haiwezi kutoka kwa sababu ya mobile payment kuondolewa. Nikasema niwe nabet tu bila mahesabu, cha ajabu nikawa nakula kishenzi. Nilipokuja kununua kadi ya bank ndio vipigo vikaanza kuniandama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom