Potelea pote...
Screenshot_20200329-145243-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa sijawah tumia wakala nikajarib bk 3 leo kufumba na kufumbua imesoma, sasa nahangaika na table tennis

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mawakala wangetakiwa kuwa na Group mf. Telegram, ili iwe rahisi kuwapata na pia kama kuna wakala atakuwa anazingua ni rahisi kumJudge na wateja kufahamu kuwa wakala huyu anazingua, na hili linawezekana kama wangekuwa na platform au Telegram group la mawakala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila Virtual kumbe usipoenda kichwa kichwa inatoa game mbili za both team to score chukua league tofauti alafu usifuate jina la team kanakwamba ni kubwa au la angalia odds ya 1.44 GG yes isizindi hapo... chukua league ya italy game moja changanya na spain game moja... Jiwekee maxmum stake kama mwisho ni jero usizidishe
 
Tupe na gharama ya kutuma na kutoa mfano kuanzia sh 1000 mpaka 9999 ni sh ngap

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama ni sawa na ya kutoa kwa wakala wa mpesa au tigopesa lakn pia kuna baadhi wanatoa ofa sometimes punguzo na hyo ndio faida anayoipata yeye kama wakala. Ukiwachek watakupa list yote kiwango unachotaka kuweka na gharama ya kutolea. Mfano ukiwa unaweka 10,000 utamtumia 11,400.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom