BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
Kamaa uliwekaaa TOFAUTI
Jitoeufahamuu. WA sadakaaa hioo n sahau
Kamaa uliwekaaa TOFAUTI
Wamebadili utaratibu wa malipo..ulitumia namba ya kampuni 122122 na kumbkumb na 60124815?Betpawa ovyo sana siku ya tano sasa nimeweka pesa kupitia tigo haijasoma.
Kama uliufata pesa tayari kama ulipuuza kila la kheri tukutane jumapili ijayo
Juzi nimeweka haijasoma mpk leo....jana na leo iko poa........Siyo betpawa chunguza vizuri. Betpawa ukiweka ni sec imesoma. niliwahi kukosea ref no pesa ikaelekea kusiko julikana ikabidi niisamehe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebadili utaratibu wa malipo..ulitumia namba ya kampuni 122122 na kumbkumb na 60124815?
Ndiyo nilifanya hivyo mkuuWamebadili utaratibu wa malipo..ulitumia namba ya kampuni 122122 na kumbkumb na 60124815?
Nilifuata maelekezo mapya mkuuWalibadilishaaa mfumoo sijuikama.umefwata huoo
Supabet wako poa mkuuTumia supabet
Nimewapigia juzi wanakiri kuna tatizo ila wanashughulikia ila hadi mida hii hamna kitu
Haooo Waturudishieetuu na januaryhiiiNilifuata maelekezo mapya mkuu