Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,657
- 71,444
HONGERA sana kwa selection nzr
Asante sana
HONGERA sana kwa selection nzr
Hongera sana mkuu
imeumiza ila ndi betting Mkuu mi 10k imetembea na kuniacha bila bila
Imeniuma kinoma..nililitegemea kweli...treni lilisukwa likasukika..lakini dah..ndio hivyo sio ridhki..
Huyu kanishangaza sana , kuna siku nlimruka akawin, jana nkamfuata kayumba