Mkuu
Baada ya kipigo cha jana ikabidi niwe napitapita mtandaoni nione tunakwama wapi.
Nimekutana na mbetiji sugu anaitwa Richard Veitch aliyewatesa bookmarkers wa UK miaka ya 2000 hadi kupelekea kufungwa akaunti zake. Jamaa alitajirika hadi akanunua helicopter.
Yaani jamaa alikuwa na army kabisa la kuplace bet,
nimejifunza mengi ila kubwa nililogundua sio tu betting inambeba bookmarker, bali ukionekana unakula sana jamaa wanakujua na wanatarifiana, wanaanza kukulimiti kiwango cha kubeti ili usiwaumize sana.
Kwa ufupi hakuna bookmarker anayetaka umtie hasara.
Mkuu huko umeenda mbali sana
Jikite na jamaa alikua nafanyaje kuwin
Otherwise the house always win
 
Baada ya kipigo cha jana ikabidi niwe napitapita mtandaoni nione tunakwama wapi.
Nimekutana na mbetiji sugu anaitwa Richard Veitch aliyewatesa bookmarkers wa UK miaka ya 2000 hadi kupelekea kufungwa akaunti zake. Jamaa alitajirika hadi akanunua helicopter.
Yaani jamaa alikuwa na army kabisa la kuplace bet,
nimejifunza mengi ila kubwa nililogundua sio tu betting inambeba bookmarker, bali ukionekana unakula sana jamaa wanakujua na wanatarifiana, wanaanza kukulimiti kiwango cha kubeti ili usiwaumize sana.
Kwa ufupi hakuna bookmarker anayetaka umtie hasara.
point yako ni ipi ikiwa mancity kapigwa 3?
 
Princessbet wamewrong tiketi yangu tokea jana hawataki kunilipa dadeki zao, mwenye contacts zao tafadhali
 
Aiseeeeeeeeeeeee
Screenshot_20190915-090128~2.jpeg
 
✪ Free Singles ✪

►1860 Munich - Jena 1 (1.60)✅
►Dortmund - Leverkusen 1 (1.85)✅
►Tottenham - Crystal Palace (1.42)✅
►Crusaders - Glenavon 1 (1.50)✅
►Barcelona - Valencia 1 (1.50)✅
 
KAMA YLICHAMBUA.MZIGO WA WEEKEND TULISHARE WOTE MREJESHO
Ray Tips

1.Red star Belgrade ---win✅✅
2.Zenit. Dnb✅✅
3.Olympiacos----win✅✅
4.Slavia Prague ---win✅✅
5.D. Zagreb----win✅✅
6.Real Madrid----win✅✅
7.Napoli-----win✅✅
8.Inter Milan-----win✅✅
9.The Strongest----win✅✅
10.Rangers-----win✅✅
11.Benfica-----win✅✅
12.Ajax------win✅✅
13.PSG-----win✅✅
14.Man City-----win😭
15.Liverpool------win✅✅
15 Odds
 
Mwenye namba za wasup za parimatch...na withdraw wananiambia nijaze security page nimejaza na nmeupload doc bado inakataaa ..nisaidien namba yao ya wasup nitoe mpunga kidogo..
 
5+odds
⏰ 12:30
Barnsley - Leeds Utd
2 or Ov(2.5) 1.23

1316
Ha Noi FC - Viettel FC
1 or Ov(2.5) 1.13

1425
SK Rapid Wien - FC Admira Wacker Modling
1 or Ov(2.5) 1.13

1369
HB Torshavn - Skala IF
1 or Ov(2.5) 1.17

1793
Malmo FF - IFK Norrkoping
1 or Ov(2.5) 1.32

1558
Molde FK - Tromsoe IL
1 or Ov(2.5) 1.13

1552
KAA Gent - Yellow-Red KV Mechelen
1 or Ov(2.5) 1.19

2767
IA Akranes - UMF Grindavik
1 or Ov(2.5) 1.30

1228
KA Akureyri - HK Kopavogs
1 or Ov(2.5) 1.34

Odds5.68

Z55HVPCT

©🥈🌟💫🎯Engrr Pdidy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom