Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,157
- 33,517
UKikataa wana suspend account na kilichomo?mfano bikosports wameandika kabisa kule chini kama sio "jinsi ya kubet" basi "kuhusu sisi"
Ukishinda, watakuwa na mamlaka ya kutumia taarifa zako kibiashara kama picha, sauti video kwa mwaka mzima tangu siku ya ushindi wako.
Hakutakuwa na malipo yoyote kwa kazi hiyo na hutakuwa na uhuru wa kukataa.
Yaani ukisoma zile TC's hutakuwa na hamu nao kubet kabisa.