Kwanz me naona serikali wanafanya dhulma sana Upande wa betting sema tu hakuna wanaolalamika.
Hivi inakuwaje mfn me na loose mkeka ina mana bookmarker ye analipa kodi kwa kila mikeka ambayo nimelost, jibu hapo obvious ni hapana.... Sasa iweje mimi kila nikiwin nikatwe tena kodi hapo?
Hii haiko sawa kabisa ndio maana hata haya makampuni mengine huamua tu kutulipia hizi kodi kwa kutuonea huruma ....
Na ndio maana makampuni ya ulaya hawatozi kabisa kodi wanajua kazi ya kubashiri mambo yajayo bila kutumia teknolojia yeyote ile ni ngumu. So kodi ni kuoneana tu.
Haya makampuni ya kitanzania ni waoga balaa, unakuta timu fulani kwenye H2H huwa hawavuki goal 3, then unakuta wao wameanzia na over 3.5 (hapo manake wanaitaka hela yako kwa nguvu, kuwin manake umechoropoka tu)
Au unakuta option yenye unafuu wa kuwin wanaificha huko! (princess bet).
 
Tujaribu FIBA InPlay

Italy/Serbia - Over 41.5 4th Quarter
BOOOM ! WON !!!

Screenshot_20190904-164124_1567604507536.jpeg
 
Na ndio maana makampuni ya ulaya hawatozi kabisa kodi wanajua kazi ya kubashiri mambo yajayo bila kutumia teknolojia yeyote ile ni ngumu. So kodi ni kuoneana tu.
Haya makampuni ya kitanzania ni waoga balaa, unakuta timu fulani kwenye H2H huwa hawavuki goal 3, then unakuta wao wameanzia na over 3.5 (hapo manake wanaitaka hela yako kwa nguvu, kuwin manake umechoropoka tu)
Au unakuta option yenye unafuu wa kuwin wanaificha huko! (princess bet).
Acha tu mkuu tuna kazi sana na nchi zetu hizi za mavumbini
 
Na ndio maana makampuni ya ulaya hawatozi kabisa kodi wanajua kazi ya kubashiri mambo yajayo bila kutumia teknolojia yeyote ile ni ngumu. So kodi ni kuoneana tu.
Haya makampuni ya kitanzania ni waoga balaa, unakuta timu fulani kwenye H2H huwa hawavuki goal 3, then unakuta wao wameanzia na over 3.5 (hapo manake wanaitaka hela yako kwa nguvu, kuwin manake umechoropoka tu)
Au unakuta option yenye unafuu wa kuwin wanaificha huko! (princess bet).
Kabsa yan..
Sema kinchi chetu hiki kinaongozwa na viongoz ambao wana unazi sana, ndy mana wengi kama wangeweza kufata protocal ya betting company za nje, wangezitumia zaidi hizo kuliko hiz zetu.
 
Ooh my Gudness kama hii taarifa niyakwel bac nimwendo wakukusanya mtaji...yaani siyo kutafuta ela yakubet bali MTAJI WAKUINGIZA KIPATO KWA UCHAMBUZI YAKINIFU..Mungu asaidie iwe kweli jaman maana wengine tulishakata tamaa yakubet maana hakuna kampuni inayonipa option ya over 3 au 4 corners fulltime kama siyo hii 1xbet yani hakuna
Usinisahau kwenye issues za kona mkuj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom