brton
Senior Member
- May 7, 2019
- 174
- 151
We ni mshenzi una tabia mbaya na nimegundua una upendeleo yaani huna hata huruma...
Nimeamka asubuhi na msimbaz wangu ukanishawishi nikupe 7000\= eti utanipa milioni badae, nikakupa nikajibana na elf3 yangu ikatosha chai na lunch, ckuwa na shaka dinner juu yako lakini ukaamua kunilaza njaa..
Nasema tena SIKUPENDI huna ahadi za kweli nimegundua we ndo ulomfanya jokery aje jukwaani kuomba 2000\= ya kula japo sina hakika km Mmasai Dada alimsaidia
Km alimsaidia naomba na mm anisaidie mhindi kansaliti nimegundua hayuko fair
Uzi tayari