022 2701845
Omba kuongea na Meneja/Supervisor..Muelezee tatizo lako alishughulikie mwenyewe muambie humtaki jamaa mwenye namba inayoishia na 13 akusaidie Sababu ni Mpumbavu.

M-Lipa huyu jamaa 0758460813 Mpeni kazi nyingine Customer care haiwezi kabisa..
Huyo mjinga mimi tangu nimemtukane huwa ananirekebishia miamala yangu haraka sana.

Nilimbembeleza nikaona mwisho ni upuuzi nilimwambia jambo moja tu.

"Kama wewe ni Mwanaume na una nyodo hivyo hivi ungekuwa mwanamke ingekuwaje"

Hahhaha toka siku hiyo hadi leo hana upuuzi akiona sms yangu yenye kutaka usaidizi.
 
jamaa Itakua kaajiriwa kishkaji hapo M-Mlipa.

Hana weledi wa kazi kabisa...Anakuambia anashughulikia ukimpigia baadae hakumbuki mliongea nini.Au anasoma msg whatsaap then anapotezea.

Mimi Meneja huwa namuambia nakata simu wanipigie.Siwezi kupoteza dakika zangu na huwa wananikata ada nikideposit hela.
 
Hahahaa
 
Hahhaha yule dawa yake ni kumchangamsha na katusi kamoja ka maana.
jamaa Itakua kaajiriwa kishkaji hapo M-Mlipa.

Hana weledi wa kazi kabisa...Anakuambia anashughulikia ukimpigia baadae hakumbuki mliongea nini.Au anasoma msg whatsaap then anapotezea.

Mimi Meneja huwa namuambia nakata simu wanipigie.Siwezi kupoteza dakika zangu na huwa wananikata ada nikideposit hela.
 
Hivi 1xbet game ikiwa postponed, na slip ni accumulator, na game zilizobaki zmetik, ni nn kinafuata
 
Inategemea iyo game itapangiwa lini km ni ndani ya saa 72 itabdii uingojea ikitokeA tarehe zaidi ya hapo wata calculate na kukupa kiasi chako mbali na odds za iyo game
 
Game za kesho jaman
Screenshot_2018-09-17-15-17-26.jpg
Screenshot_2018-09-17-15-16-13.jpg
Screenshot_2018-09-17-15-17-09.jpg
Screenshot_2018-09-17-15-16-49.jpg
 
Kuna Mdau mmoja juzi alileta humu Correct Score ya game ya Chelsea na Cardiff (4-1) nilikuwa sijabet bado nikaweka pesa kwenye Account yangu ya 1xbet ili niruke na hiyo CS ilikuwa na Odds 17 hivi.

Nilipotia pesa kwenye akaunti jicho likamtazama Inter Milan likamtamani sana nikabadilisha mawazo nikaanza kusuka mkeka wa timu 5 ambapo Inter nae alikuwa ndani nikimpa DW.

Aisee baadae nikapata kutazama matokeo ya Chelsea nikakuta kweli yamekuwa vilevile.

NB: Ukiamua kufanya kile ambacho unadhani ni sahihi acha kuangalia utapoteza shilingi ngapi, nilipoteza 10000 kwa sababu ya Inter ila mawazo yangu mwanzo yalikuwa ni kubet CS ya Chelsea tu.
 
Mi nataka odds 3
Kesho nipe mrejesho.
MULTI BET (6)

Mkeka wa 1-Odds 2.7

Pole sana mkuu ndo hivyo
 
Kesho nipe mrejesho.
MULTI BET (6)

Mkeka wa 1-Odds 2.7
DESA ILO MKUU
1537190150165.png
 
Mi nataka odds 3
Mkeka wa 1-Odds 2.7
[/QUOTE]
DESA ILO MKUU
View attachment 868991
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom