Sijui naota au ni muindi kanipiga Sana lakin iko Kama naona fiorentina atashinda hyo mechi.
Screenshot_20180915-181347.jpg
 
Usitake umaarufu humu JF kwa kupitia huu uzi, hapa watu tupo kazini halafu unataka kuleta kiwingu.
Kama hauko interested na hii business nenda kwenye nyuzi zingine maana zipo kibao, huo ushauri wako hauna tija kwa sasa.
Hakuna steep popularity hapa lete ushahidi ili na wengine tujiunge huko nyinyi ndio matapeli wa JF hamna tofauti na Ontario.shabash
 
Usitake umaarufu humu JF kwa kupitia huu uzi, hapa watu tupo kazini halafu unataka kuleta kiwingu.
Kama hauko interested na hii business nenda kwenye nyuzi zingine maana zipo kibao, huo ushauri wako hauna tija kwa sasa.
Mzee jamaaa atakuwa ameliwa pesa huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom