Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,637
- 3,037
Kampuni gani hii mkuu.Wadau mnaopenda kucheza timu nyingi na mnakosa timu 1 au 2 jifunzeni System Bet ni nzuri hulali na njaa...
Mfano hapo kwenye picha..
Mkeka wa Timu 8 timu 1 imezingua lakini profit imesoma million 2+kwa stake ya bukuView attachment 856843
Sent using Jamii Forums mobile app