Kiliooo kilio
IMG_20180409_104838.jpg
IMG_20180409_104816.jpg
IMG_20180409_104734.jpg
 
NAOMBENI USHAURI
Ni Site gani Nzuri Kwa Kubet mtandaoni?
Ukiachana na hizi site za bongo meridian na hizi premier.
Site gani ina options za kutosha.? Easy deposits and Withdrawal?
MSAADA TAFADHALI
 
Jamani PREMIER BET Mungu anawaona mnachonifanyia,yaani tangu nitoe hela Ijumaa saa 16:55 mpaka leo kavu,leo nimetoa tena nyingine saa 11:10 nayo bado tu,hakika najuta kuwafahamu maana hapa ratiba zangu zote zimesimama kwa ajili yenu.Mwenye namba zao wakuu ebu nisaidieni plz.
 
Ndo maana mi nataka kuwahama hawa wanaobetisha local local
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom