Inplay

Sudamericana CONMEBOLS

Rampla vs UTC

Corner handicap first hallf- UTC (+2.5)

Odds: 1.74

Nb: stake 50%
 
upload_2018-3-9_1-46-27.png

Nilichelewa kuutupia huu Bet won
 
Wazee wenzangu hii live betting mnachezaje, mie nilizoe kubet kabla ya game naangalia takwimu ndio naweka mpunga, sasa hii live betting mnakuwa mnaangalia mechi au tayar mnauzoefu na ligi husika, yaan uchambuzi wenu unakuwaje kuwaje katika kuamua kuchukua odds fulani!?
 
Hilo ni somo pana kidg.

In short,
Ni lazma uzijue timu, na ligi husika nature yao.

Pia current Game analysis ni lazima uijue trend yake inaenda VP.

Kwasasa,

Copy&paste tu mikeka, hizo shule tufanye siku nyingine.

MDA SIO RAFIKI
 
Naam kabsa,..kwasasa akupe imani yake tu hakuna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom