Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,930
- 1,165
haina shida nduguImetik ingawa m nili edt hzo za Qatar nkaweka zangu za England ambazo znatoa GG,uko vzur mkuu.....Unaonaje kesho tusuke GG 5 za uhakka mn naona games nyng
haina shida nduguImetik ingawa m nili edt hzo za Qatar nkaweka zangu za England ambazo znatoa GG,uko vzur mkuu.....Unaonaje kesho tusuke GG 5 za uhakka mn naona games nyng
Sijajua hiyo 40,000/- umekula mara ngapi ila ni too low kui risk 1 m ipo siku wakitoka 0-0?karibu kamanda. Najua utakua unacheza kidoni kama mm. 1,000,000 stake. Over 0.5 goals Full Time, odds yake 0.04 (1000000 ×0.04=1040000) hapo kanji lazima atubu tu.
Jamaa unarisk 1M kwa elfu 40Sijajua hiyo 40,000/- umekula mara ngapi ila ni too low kui risk 1 m ipo siku wakitoka 0-0?
Roma, Dortmund, Bayern Munich, PSG, NIce, Real Madrid, AC Milan & Benfica All to WinChagua timu unazo taka ww ukipiga mpunga ni inbobo hapaaa
mchaw dotmundRoma, Dortmund, Bayern Munich, PSG, NIce, Real Madrid, AC Milan & Benfica All to Win
apo mchawi n nan
Aya mambo unaweza shangaa mechi ikaisha bila bilakaribu kamanda. Najua utakua unacheza kidoni kama mm. 1,000,000 stake. Over 0.5 goals Full Time, odds yake 0.04 (1000000 ×0.04=1040000) hapo kanji lazima atubu tu.
Mkuu umejiunga na VIP au hii ni ile ya free?
hii over 0.5 full time nimeanza kuiogopa siku hiz, Timu hazifungani kabisa eti unakuta timu inatoka bila bila, washaniumiz sana haokaribu kamanda. Najua utakua unacheza kidoni kama mm. 1,000,000 stake. Over 0.5 goals Full Time, odds yake 0.04 (1000000 ×0.04=1040000) hapo kanji lazima atubu tu.
Yap.mkuuMkuu umejiunga na VIP au hii ni ile ya free?
YakulipiaMkuu umejiunga na VIP au hii ni ile ya free?