Sasa hako ka elfu kumi kangu walikokachukua watakarudisha au????


Mr Wise, watumie email ... wasipokujibu by close of the day watumie reminder. Lazima watakuwa wamejichanganya ila mpunga wako upo. Hawawezi kuichukua kirahisi rahisi tu
 
Wakuu tupieni wa leo bac


Chagua zitakazokufaa hapa ...

upload_2016-9-2_12-17-25.png
 
Inaitwaje piah maelekezo kidgo
Inaitwa turbo mkuu?
Ili kupiga turbo inabd mkeka uwe umeshatiki timu c chini ya tatu pia kusiwe na mech ambayo imeshaanza au ambayo inaendelea mda huo..so km mkeka una tim 10 zmeshatiki tatu na katka hzo saba zilizobaki hakuna game yeyote ilioanza basi hapo unaweza piga turbo mkeka wako..ukifungua ticket pale chin kulia utakuta pameandikwa turbo basi unaclick then unasubiria kitu kinacalculate mpunga wako kinakwambia kiac ulichopata inachkua kama 30secs hivi mkuu
 
Coupon
More than 10 odd



Darlington vs kidderminster.... 2+

Atlantis vs Tpv..... Tpv win

Kufstein vs wacker innsbruck...... 3+

Allerhingen vs stadl paura....... 3+

Illertisen vs Buchbach...... GG

Bohemia vs Dundalk....... 2+
 
Hehe...nlivyoona Q ya kwanza tu nikajua tiari, wenzao niliwapa under 202 ikatiki hii W na over zimegoma.


Ni shiiidah hakyanani ... kila tawi ukishika linavunjika ... vikapu 11 vilihitajika tuvute hela.

upload_2016-9-2_16-41-3.png


Ngoja nitafute Odds 3 za baadae nione km nitafuta machungu.
 
Mzazi nimetoka hv ...

Derry City - win (1.78)
UCD - 3+ (1.50)
Shelbourne - I1+ (1.21)
----------
Total Odds 3.23

Hapa naskizia km ni maumivu au nalala na kicheko. Cc Moyess
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom