Atakayefanikia kuwidraw meridian atupe taarifa, nitoe hela zangu rasmi nihamie mkekabet tu maana nashinda afu bado hela yangu naisumbukia kuipata, natoa hela inarudi daaah toka jana, then leo nawapigia simu wananambia ni tatizo la kiufundi wanalishughulikia....***** zao mbona kuweka hela hakuna tatizo la kiufundi???
Mkuu acha tu.... Atakayefanikiwa kutoa atupe mrejesho tutoe tuhame maana....
 
dah man hereven alizingua..nipe odds 2 nitembee * ako..
dah na wakakosa penalt dakika za mwishoni aisee
mkeka1.png
 
Wakuu naombeni msaada wenu kunielimisha na hii kitu ya mbet...nashindwa kuelewa hapa nimeshinda au inakuaje? maana mkeka wa kwanza kwenye status wameandika ''winner'' halafu winning 0.00 asa nawezaje kushinda 0.00? halafu huu mkeka nikiufungua haufunguki...mkeka wa pili wa jackpot kwenye status wameandika ''paid'' amount 210,100 lakini iyo hela haijaingia wala siioni kwenye account yangu..hapo wazoefu na mbet hapo imekaaje wakuu?

View attachment 460145
huo wa kwanza umeshinda bt wakiingiza pesa wataandika paid winner.
huo wa pili tikeki ndo imelipiwa bado haijajulikana kama ni won o lost.
wa 3 n lost.
 
Nimechukia sana ila jamaa alikuwa na lengo jema,, ila nahis Kanji alimtuma aje kunipumbaza ***** ningekua na faida elfu60 saa iz miguu juu saut ya radio had mwisho namuumiza mwenye nyumba ila ndo bas tena
Ahhaahhaa...eti Sauti juu unamuumiza mwenye nyumba..hahahah
 
huo wa kwanza umeshinda bt wakiingiza pesa wataandika paid winner.
huo wa pili tikeki ndo imelipiwa bado haijajulikana kama ni won o lost.
wa 3 n lost.
asante kwa kunielewesha mkuu..Hivi uwa wanachukua mda gani kukuinigizia hela pale unaposhinda?
 
Back
Top Bottom