Hivi Hadi Leo mnabetia Hawa wizi wa betpawa
 
 
EA8B3D1 | SportyBet

naona unamvizia kanji kumpiga mamilioni kwa odds hizi unazowekaga ....ila leo tena natoa somo kwa huu mkeka wako kuna option nzuri sana kuifanya kwenye huu mkeka na kuwa somo ..mfano umeweka home or draw cheza
home or under 2.5 na ile uliyo ipa away or draw cheza
away or under 2.5 .....mtakuja ku nikumbuka huu mkeka nime ucheza kama ulivyo ila nime flex mara mbili sasa hivi ninaubadili kuwa home or under2.5 na away or under 2.5
 
Mkuu shida yangu nina tamaa sana na pesa ndefu kutoka kwa kanji so mambo ya kuflex sijui kuedit sitaki kuyasikia. Mimi nikishasuka bomu namtegea kanji kama lilivyo.

somo lako zuri though, wenye kufuata wafuate 🤝
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…