Sportybet
Contry Nigeria
IMG_20220620_211456_330.jpg
 
Yes ofcourse Kuna watu wanapitaga inbox mpaka wanaboa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Huna haja ya kumsema mtu amekuja inbox kukuomba mtaji, unajua watu wengi wana maisha magumu, hawana kazi, na kazi zenyewe hazipo hivyo kijana mwenzako anapokuomba Buku 2 na unayo mpatie ajaribu bahati yake.

Watu wanaishi maisha magumu na kwao msaada wao katika maisha ni kubahatisha kwenye kubet anapata buku 5 anatoa buku 3 anakula nyingine mtaji wa kesho.

Tuombwapo kama tunayo tuwasaidie, hakuna anayetaka kudharilika katika kuomba hasa hizi buku 5 5.

Mtu anakuomba hela na ameweka reheni namba yake ya simu umsaidie basi msaidie na usimsemange.

Majibu yetu mara nyingi yanaondoa last option tya mtu na kumpelekea kwenye deep stress, mwisho mtu amejiua nk.

SHIDA HAINA MWENYEWE, UKIWANACHO USIWAONE WENZAKO WASIONACHO KAMA WAJINGA NA WASIOJITAMBUA.
 
Umenena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bravo
 
Libertad asuncion win
Tampere united over 1.5 normal
Pk Keski uusimaa to score 1- goal
Gwangju win or draw
Suduva marijampole under 3.5 normal
La luz under 3.5 normal
Vasa ifk over 1.5 normal
Jeju united win or draw
Pfk navbahor win
North Carolina over 2.5 normal
Shandong taishan win
Vikingur reykjavik to score over 0.5
 
Libertad asuncion win
Tampere united over 1.5 normal
Pk Keski uusimaa to score 1- goal
Gwangju win or draw
Suduva marijampole under 3.5 normal
La luz under 3.5 normal
Vasa ifk over 1.5 normal
Jeju united win or draw
Pfk navbahor win
North Carolina over 2.5 normal
Shandong taishan win
Vikingur reykjavik to score over 0.5
Naona umeshamsha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom