Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,827
- 8,686
Hii zilizo baki zingine zisha chezaMbona ni code yangu nilituma jana
Iyo code ndo hii apa niliiyandaa jana ichi kitu kinaboa unajua kuandaa code mtu unaumiza kichwa kiasi gani Alafu nashea humu kwa wema tu then mtu anaji mwabifai Kama vile code kaitengeneza yeye sasa me nitakuwa situmi Tena code humu zaidi ya kutuma code za won tuHili apa treni la over ligi 3 italy, England, belgium na UEFA
Betpawa code 601F6B5
Kazi kazi vijana
Hiyo code ndo hyo Apo juu nilituma Jana Ilikuw na Tim 45 zimeisha win Tim 6Hii zilizo baki zingine zisha cheza
Wee nitafutie mechi tatu za leo niwekeWewe umeweka?
Tuma tatu za leo
Iyo tren sija tengeneza mm ndio. Mm nlikuwa na wakumbusha tu watu tu na nikatuma match zilizo baki maana treni iko poa. Naona umenielewa vibayaHiyo code ndo hyo Apo juu nilituma Jana Ilikuw na Tim 45 zimeisha win Tim 6
View attachment 2034710
Thanks+254111964965.
Thanks wakati umetumiwa namba ya Kenya we hustuki???Thanks
Duu kazi kwel kwel.huoji hata range ya odd zinatofautian, Umeuliza hii mbona code zangu je Kuna sehem nilobisha nikasema sio zako, bali nikakujibu hiizi ni matches zilizo baki zingine zimesha chezaa nineweka tena humu ili ambao jana walipitwa waweke zilizo bakii. Sasa hapo kujimwamba fai kwangu ni kupii?Iyo code ndo hii apa niliiyandaa jana ichi kitu kinaboa unajua kuandaa code mtu unaumiza kichwa kiasi gani Alafu nashea humu kwa wema tu then mtu anaji mwabifai Kama vile code kaitengeneza yeye sasa me nitakuwa situmi Tena code humu zaidi ya kutuma code za won tu
Ok Wenda sikukuelewaDuu kazi kwel kwel.huoji hata range ya odd zinatofautian, Umeuliza hii mbona code zangu je Kuna sehem nilobisha nikasema sio zako, bali nikakujibu hiizi ni matches zilizo baki zingine zimesha chezaa nineweka tena humu ili ambao jana walipitwa waweke zilizo bakii. Sasa hapo kujimwamba fai kwangu ni kupii?
Sasaa etoo ndo namba yake pia ya WhatsApp...Cha ajabu kipiThanks wakati umetumiwa namba ya Kenya we hustuki???
Soon kila siku mkuu
Ukisikia kuliwa ndio huko mzee
Unataka upate faraja?? Mwanangu kichapo ni palepale tuMsaada wa link ya ule uzi wa jamaa ambaye aliingiza mamilioni kupitia kubet nataka niusome
mimi naweka mwenyewe kwa kutumia mastercard ya airtel ila wanamakato sana ukiweka mwenyewe.Kuweka pesa tumia mawakala wapo