Naomba ufafanuzi hapa, maana nina mpango wa kuamia huko 1xbet kukimbia kodi ya 22bet?
Nilikuwaga nawashangaa sana jamaa waliokuwa wanalalamika juu ya kodi. Ila Sasa nimewaelewa na nafanya Mpango nihamie 1xbet.Haiwezekani,kuliwa niliwe, nihangaike kutafuta odd 2 Kisha niweke 100k afu nipewe 170k,... 30K ni ndefu sana aiseeh.
 
Pesa ndefu sana wanakata, sasa huyo jamaa anaesema 1xbet washahama bongo sijui ana maana gani?
Nilikuwaga nawashangaa sana jamaa waliokuwa wanalalamika juu ya kodi. Ila Sasa nimewaelewa na nafanya Mpango nihamie 1xbet.Haiwezekani,kuliwa niliwe, nihangaike kutafuta odd 2 Kisha niweke 100k afu nipewe 170k,... 30K ni ndefu sana aiseeh.
 
,,
Screenshot_20210509-234354.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom