Kila siku nikiamka lazima niweke mkeka betpawa, sh 100 zile mechi za Moto(hotbets) odds zina kuja mlima ...One day yes..Mwaka wa pili now,skati tamaaa
 
Usikate tamaa,leta code mkuu
Hahahaha piga shilingi 100*365! That means kwa mwaka ni 36,500! Kwa miaka miwili ni 73,000!

Kwa aina hii ya uvumilivu mke hatakaa akushinde mkuu hongera sana! Mie siwezi maliza week sijamla huyu mrusi! Sina uvumilivu wa kuliwa mwaka mzima! Bora niweke hata elfu 10 ila nimle by 70% au zaidi ya stake!
 
popular bet .. cheki nabeti kuwafwata wao
Usikate tamaa,leta code mkuu
Screenshot_20210503-110642.jpg
 
Iwapo ni kila siku, Ni vyema ucheze Jackpot yao tu..!
Jackpot tatizo mgoa mkuu..Nimewahi kushinda jackpot ya M10 ,Mgao nikapata 114K..nikaona ushubwada, Nahis wanaingiza washindi Magumashi(Virture) tugawane mpunga na kampuni
 
Jackpot tatizo mgoa mkuu..Nimewahi kushinda jackpot ya M10 ,Mgao nikapata 114K..nikaona ushubwada, Nahis wanaingiza washindi Magumashi(Virture) tugawane mpunga na kampuni
Hapana mkuu. Game zikiwa nyepesi washindi mnakuwa wengi.

Kuna jamaa yangu nakumbuka alijitoa ufaham aliweka sale mechi zote.

Huezi amini alipiga milion 3 peke yake m-bet
Aliishia mechi 11
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom