Hivi ni kweli kuwa kunakuwaga Fixed Match(Upangaji wa matokeo) kwenye soka kwamba mechi Fulani imeisha 2-2 au 3-1 au 2-0 au 3-3 hii IPO kweli nahitaji kujua hili!
View attachment 1715682

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Matokeo smtms yanapangwa ila usiingie mkenge wa fixee match, hata yakipangwa nchi yoyote anayetaka kukuuzia hiyo fixed odds hawezi jua, ufupi ni kwamba ikiwa mtu anatafixed odd hata 10+ odds, aweke mpunga ale pesa atulie kwann apigane kuuza....ni utapeli,
 
Baaada ya akili zangu kufika mwisho ,leo nimekuja na mikeka toka Kwa marafiki Sasa
Vittese-win
Nec nijmegen-win
Millwall win or draw
Cardiff win or draw
Juve win
Lazio win.Nitakunyima hela ila sio jamvi.
 
Bado ujajinoa kwenye izi mambo Mkuu asikudanganye mtu amnaga fixed match za kununua kwa mtu utapigwa pesa mpaka akili ikukae sawa kwasasa aisee bet imekua Ngum sanaaa mpaka unaweza kujiiliza unagundu au?? Amna njia inayofanya kazi kwa % zote lakini njia bora labda ya kuweka odds chache 2-3 na stake ya maana kama apo bado ni shida niko kwenye channel Telegram unaweza kuisearch pale kwenye seaech engine inaitwa "Alphabet 2+ sure odds" sijui ni wabongo au wakenya ila wanatoa odds mbili tu mambo ya Fixed match sahau iyo ndio njia yenye angalau
 
Was pili.
Juve win
Man City over 1.5
Besiktas over 1.5
Lazio over 1.5
Partizan win
Nec Nijmegen-win
 
Was mwisho.
Ferencvaros win
Juve win
Man City win
Vittese over 1.5
Hull over 1.5
Lazio over 1.5
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…