Issa Kigaga
Member
- Dec 7, 2019
- 33
- 5
Alisikika mlevi mmoja akisema "ngoja league zianze tupige hela"
baada ya league kuanza
bora league iishe tupumzike kuliwa hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisikika mlevi mmoja akisema "ngoja league zianze tupige hela"
baada ya league kuanza
bora league iishe tupumzike kuliwa hela
WONLIVE
new coast united - melbon coast
who takes most corner in 5 minutes from 46-50
==selection X
odds 1.5
LOSTLIVE
new coast united
who takes most corner in 5 minutes from 71-75
pick X
odds 1.5
Booooooooooominplay
Weka hata figo under 1.5 first half mda huu imefika odd 1.68View attachment 1351628
Betting haina faida sasa juventus hata double chance imekataa kwa verona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana bonus. Tuwekee mkeka hapo ndg mwekezajiWadau premierbet jackpot nimekosa timu moja katika zote je kuna bonus yoyote labda mwenye kujua please .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo zote umepataje wakati wameweka game za jana na leo na match za leo hazijachezwa?Wadau premierbet jackpot nimekosa timu moja katika zote je kuna bonus yoyote labda mwenye kujua please .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali langu ndio au hapana kama huwezi pita kushotoHizo zote umepataje wakati wameweka game za jana na leo na match za leo hazijachezwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umeamua kudanganya wawekezaji wenzako asubuhi hii?
Duuuuu! Kubabake walahi huyu mjinga alikuwa amemvunja mhindi dakika tu duuuu
Salute kwako mkuu yaani hizo odds umechagua kwa roho ngumu kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app