ivi wale majeruhi wote wa man u wamerecover?
Maandalizi ya wekeend
Total 4.6 oddsView attachment 1206131
hapanaivi wale majeruhi wote wa man u wamerecover?
Mi natumia online wallet ya skrillMkuu mimi hawa 1xbet ninangekewa nao sana nilikua natumia card ya exim kuweka na kutoa hela mwishowe ikaja kugoma wewe unatumia njia gani mkuu kuweka na kutoa pesa.
weekend hii naona imekaa mafuta sana kwenye hela
Kanji hapaniwi mkuu utapigwa uchakae.ndo natengeneza treni nikimaliza nafunga na hiyo super single
Mi natumia online wallet ya skrill
Ukiwa na acc skrill ina bidi u link na Bank Yoyte mradi wawe na Card za Visa ndo utakua una tumia kuweka pesa bank kisha skrill m natumia equity na Crdb banksUnatumia njia gani kuweka hela kwny account ya skrill
Mkuu mi apa nasubiri kama za jana zile za williamRay Tips
*Bet9ja code z55x2r9r*
1.Red star Belgrade ---win
2.Zenit. Dnb
3.Olympiacos----win
4.Slavia Prague ---win
5.D. Zagreb----win
6.Real Madrid----win
7.Napoli-----win
8.Inter Milan-----win
9.The Strongest----win
10.Rangers-----win
11.Benfica-----win
12.Ajax------win
13.PSG-----win
14.Man City-----win
15.Liverpool------win
15 Odds