Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,262
- 1,489
Hii natamani niende nayo mkongwe...EUROPA League wote ukiwapa Over 0.5 Total odds zinakuwa 3.23 (Parimatch) ... is it worth trying this one? yani lipatikate goli moja kila mechi
Hii natamani niende nayo mkongwe...EUROPA League wote ukiwapa Over 0.5 Total odds zinakuwa 3.23 (Parimatch) ... is it worth trying this one? yani lipatikate goli moja kila mechi
Odd 1.09 na over 1.5 ilikua 1.04 meridian dahEvergrande anauwa watu leo
Hili siyo bomu ni bomba la mafuta na inawezekana.
Jamaa umeadimika sana. Au unachomoa betri kimyakimya.?
1Thanks Chief ... hela ya lunch imepatikana.
Natambaa na clusters za Void ab initio sasa ipatikane dinner. Leo EUROPA League kutakuwa na Over 1.5 za kutosha.
bahati mbaya tu kwa hao jamaa huwa wanafanya mambo makubwa sanaSijawahi kuamini vitu vya Kichina hata siku moja.. (Guangzhou Vs Lifan)
bahati mbaya tu mkuuEvergrande anauwa watu leo
FH:FIRST HALFFH ndo nin mkuu
Hata sio bahati mbaya mkuu sababu ni mm niliwapa evergrande kushinda. amini nakwambia mm nikiweka bet lazima niliwe hata barca akicheza na real betis nikimpa barca kushinda tu ujue siku hiyo anafungwa, nna gundu laana.bahati mbaya tu kwa hao jamaa huwa wanafanya mambo makubwa sana
Una gundu na hilo li DIRECT WIN lako. Na utaliwa mkuu mpaka akili ikae vizuri kichwani.Hata sio bahati mbaya mkuu sababu ni mm niliwapa evergrande kushinda. amini nakwambia mm nikiweka bet lazima niliwe hata barca akicheza na real betis nikimpa barca kushinda tu ujue siku hiyo anafungwa, nna gundu laana.
wonInPlay;
Mechi ya TPV Over 1.5HT
Limpopo Dk ya 40 2:0InPlay;
Mechi ya TPV Over 1.5HT
Nasubiri nipate prepaid card ili nihamie parimatch ya Ukraine mkuuJamaa umeadimika sana. Au unachomoa betri kimyakimya.?
kweli mkuu direct win ni ugonjwa mkubwa sana....Una gundu na hilo li DIRECT WIN lako. Na utaliwa mkuu mpaka akili ikae vizuri kichwani.
Aisee tukutane Kwa wakalaInPlay;
Mechi ya TPV Over 1.5HT
Wanataka odds kubwa chapkweli mkuu direct win ni ugonjwa mkubwa sana....