[14/08, 09:05] KING OPULENCE TWO: *1mpzj*
_2.67 odds_
Rosenborg - Maribor
Total: Total Over (2)
1.39
Ajax - P.A.O.K.
Total: Total Over (2.5)
1.48
LASK Linz - Basel
Total: Total Over (2)
1.3
*mr opulence*
[14/08, 09:05] KING OPULENCE TWO: *1jpzj*
_2.33 odds_
Rosenborg - Maribor
Total: Total Over (1.5)
1.26
Ajax - P.A.O.K.
Total: Total Over (1.5)
1.14
LASK Linz - Basel
Total: Total Over (1.5)
1.21
Celtic - CFR Cluj
Total 1: Individual Total Celtic Over (0.5)
1.17
Porto - Krasnodar
Total 1: Individual Total Porto Over (0.5)
1.15
*mr opulence*
[14/08, 09:06] KING OPULENCE TWO: *x76zj*
_2.60 odds_
Hougang United - Warriors Singapore
Total: Total Over (1.5)
1.13
Jiangsu Suning - Henan Jianye
Total: Total Over (1.5)
1.17
Cliftonville - Glenavon
Total: Total Over (1.5)
1.22
Glentoran Belfast United - Coleraine
Total: Total Over (1)
1.04
Warrenpoint Town - Crusaders
Total: Total Over (2.5)
1.37
Carrick Rangers - Larne
Total: Total Over (1.5)
1.14
*mr opulence*
WONEUFA Champions League - Qualification ... wote over 1.5 leo
Total odds:
--------------
Betpawa - 11.59
Parimatch - 11.77
View attachment 1180179
Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
Bikweli watu wanabet kwa hisiaMi sio kamaria, lakini nimekaa nao ndo nikapata hako kauzoefu. Na kingine ni kuwa watu wanabet kwa hisia kuliko uhalisia.
Kaoge na Maji ya magadi, kutoa gundu..Mikeka yangu yote leo inaenda kinyumenyume aisee dah.
Hata magoli yanalostisha sana tuWatu ni kama hatujifunzi kabisa humu ndani
Kila msimu kilio huwa ni direct win, na kilio kinaendelea hivi hivi hadi msimu utaisha
Inaoneka ni kama mtu ukiona tu jina kubwa la timu basi ni kuipa direct win au double chance
Jaribu kutafiti wadau wanao aminika kwa kutoa tips hapa jukwaani wanatumia zaidi options zipi? Na mara nyingi zina kuwa na mafanikio
Mzee wa link niliunda cluster moja kati ya hizo nashukuru nimeonja ladha ya ushindiSafiii
nazitaka hizi mil 900 za sportspesa muongozo tafadhali
Andika urithi KWANZA mkuu
Usiwape SHIDA nduguzakoo
Ninawazo hilo pia. Ila nataka Weekend hii nianze na ticket 5 tuNataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000. Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .
Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .
Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023