Wadau mnaotumia safari com kwenye kuweka hela 1xbet leo kuna tatizo gani kwenye deposit make ni muda sasa nimetuma hela lakini haijasoma kwenye account
 
Nimeweka mafanikio ya kitu ambacho nakifanya kila siku. Sasa wewe mkundu wa mama yako unasema napotosha, nimepotosha nini hapo? **** wewe, hebu basi wewe tuwekee ukweli.
nahisi wewe utakua umebemendwa au msukule,,,,sasa turejee kwenye point..under 2 maana yake goli moja ume win,zikikifka goli mbili unakua refunded..lost inaanzia goli tatu..weka mkeka uliowin kwa goli kufika mbili na odds zikawa zilezile kwa option ya under 2
 
Tatizo mnaingia kwenye huu ulevi wakati sheria zake hamjui. Naona tatizo ni uelewa mdogo, maneno ya OVER & UNDER yanakupa shida wewe mpumbavu. Nakupa elimu ya bure, under 2 ni chini ya mabao miwili hata game ikiisha kwa matokeo ya 2-0 mkeka wako umewin kila siku mimi nacheza hivyo wala sina nia ya kuambatanisha na picha, maana huwa sitaki kelele na wapumbavu wasiotaka kujifunza. Betpawa unatengeneza mkeka hata kwa Tsh 200 unaweza kujaribu kwa vitendo ukaona matokeo yake wewe Zumbukuku.
We ndondocha usiwe km mbwa kihande ww, tofautisha under 2 na under 2.5
 
msitukanane sana wakuu.. hizi mambo inategemea na kampuni husika.
kuna makampuni ambayo under 2 ( mechi ikiisha na goli 2 wana kurefund na kuna ambao unakuwa ume lost) so nadhani inategemea kila mmoja wenu anatumia kampuni gani na experience yake.
 
AMA KWELI ASHABOKO UMEAMUA KUTETEA UJINGA WAKO
 
msitukanane sana wakuu.. hizi mambo inategemea na kampuni husika.
kuna makampuni ambayo under 2 ( mechi ikiisha na goli 2 wana kurefund na kuna ambao unakuwa ume lost) so nadhani inategemea kila mmoja wenu anatumia kampuni gani na experience yake.
kampuni gani ambayo yakifika magoli mawili kamili unakua umelost kwa option ya under 2..?
 
IMG_4688.JPG
wahi fastaa
 
Tatizo mnaingia kwenye huu ulevi wakati sheria zake hamjui. Naona tatizo ni uelewa mdogo, maneno ya OVER & UNDER yanakupa shida wewe mpumbavu. Nakupa elimu ya bure, under 2 ni chini ya mabao miwili hata game ikiisha kwa matokeo ya 2-0 mkeka wako umewin kila siku mimi nacheza hivyo wala sina nia ya kuambatanisha na picha, maana huwa sitaki kelele na wapumbavu wasiotaka kujifunza. Betpawa unatengeneza mkeka hata kwa Tsh 200 unaweza kujaribu kwa vitendo ukaona matokeo yake wewe Zumbukuku.
Mkuu kwanza acha jazba na matusi elekeza kwa lugha ya staha utaeleweka zaidi

Betpawa hawana option ya under 1 wala 2 nk
Wana option ya under 1.5 au 2.5 nk

Ungetoa ufafanuzi unatumia kampuni gani maana kampuni zinatofautiana option

1xbet kwenye Total ukibet under 2 na goli zikiwa 2 unakua refunded, na kwenye 3ways ukibet under 2 na goli zikiwa mbili unakua umelost

Tupe uzoefu wako na kampuni unayobetia
 
Kwanza tuambiane ukweli, ukishaingia kwenye ulevi huu sharti uwe na roho ngumu.

Sasa tugawane umasikini... Njia nyingine ya kushinda beti uhakika 70% kwa wale tunaotumia kampuni zenye kubashiri matokeo ya kipindi cha kwanza kwenye football. Mimi huwa nacheza Under 2 magoli kwa first half. Lakini hii inahitaji utulivu wa akili kuchagua timu ambazo zinaweza kufanya usiwe na presha kubwa. Hii pia inahitaji stake yako iwe angalau Tsh 5000, unaweza tafuta Odd 1.80 au Odd 2 kwa timu 4 mpaka 5. Unaweza kujaribu hii, mimi nimeweza kuona faida yake ila wakati mwingine presha huwa inakuwa kubwa kwa timu ambayo inaruhusu bao 1 la mapema zaidi.
Kibongo bongo sijawahi kukutana na game yenye option ya under 2. Hii unayosema wewe mkuu ni under 2.5; nimependa akili uliyotumia kumpiga muhindi, ngoja na mimi nijaribu labda hela ya kubadilisha mboga nitakuwa siikosi.
 
Mkuu hii option ni tamu sana tatizo lake odd kiduchu sana inabidi uweke kamkeka karefu kufikia odd 2
Na kampuni nyingi za kibongo huwa hawaiweki
Na wakiiweka ujue ni game ambayo inauwzekano wa magoli mengi sana
 
Tamu, lakini roho inakuwa juu juu. Kaoption kengine katamu ni over 0.5 lakini sasa kupata angalau odd ya 1.50 mkeka lazima uwe kama treni.
 
Kuna mdau ambaye amefanikiwa kuweka pesa kwenye 1xbet kwa kutumia mpesa MasterCard? Kama yupo naomba anifahamishe alivyofanya,aksante
 
Achana na hiyo mkuu itakusumbua kutoa
Safaricom au. Bitcoins ndio suluhisho
 
Habari wazee wenzangu.
Line za Safaricom sasa nimezipeleka mwanza, zipo 5 tu. Hivyo kwa wale waliokuwa wanadai wapo mwanza na wanahitaji line hizo mtaniona kwa WhatsApp number 0719957092. Usitume pesa kwa mtu usiyemjua. Nitakuekeza ukachukue ukiwa na pesa yako mkononi.

Narudia tena.
Usitume pesa kwa mtu usiyemjua.
Shukran kiongozi, Line langu nimeipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom