Ndio maana yake
Palipo na Voda basi Safaricom itakamata
Napalipo na Safaricom basi Voda itakamata

Roaming. ....
Swali zuri ila tukumbuke tu kuna watu wako mwanza na wana deposit na kuwidraw kutumia Safaricom...
 
Hizi mechi za leo za Tanzania zimekaa vizuri kupanga matokeo sema wachezaji wetu hawajui kujiongeza tu. Yan ilitakiwa leo GG ziwepo za kutosha.
Hili nalo neno mkuu

Naomba kama una table currently ya ligikuu niwekee hapa mkuu

Niki google napata table zipo tofauti sana
 
Mfano hiyo game ya Mbao vs Kagera sugar, Tanzania prisons vs Lipuli

Unahisi kagera atakubali kushuka daraja...??? Vipi kuhusu Tanzania prisons...?? Je Ruvu shooting..???
Aisee
Kumbe vita bado kabisa
Hapa mlungula lazma utembee kiaina
 
Itafute game ya mtibwa na simba popote ilipo... Mpe ushindi mtibwa tena correct score ya 1 : 0
 
SIMBA wazinguaji sana. Mechi kama ya leo wenzao wanafanya sadaka mashabiki na sisi tule hela. Mungu isaidie simba mwakani ifulie. Wenzao juve juzi weekend wameachia kiulaini na sampdoria.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…