Nimekupm mzee baba
 
Wazee wenzangu, promo code ndo nini? Kujiunga na 1xbet kuna sehemu ya kuweka promo code niwekeje? Na je kufungua kwa namba ya simu au email ipi iko bomba?
Promo code wakati unajisajili ni utambulisho wa mtu aliyekualika kujiunga na xbet au kampuni nyingine zina utaratibu huu. Mfano promo code yangu nilicreate ni 1x_48679
 
Nawezaje kuhamisha hela kutoka safaricom kwenda line ya mpesa ya Tz??
Jinsi ya kutoa pesa kwenye M-Pesa ya Safaricom KE kwenda M-Pesa ya Vodacom TZ.

Kwanza nenda kwenye app ya sim card tool kit (STK) - Ni app ya ziada ukiweka line kwenye simu, hii inapatikana kwenye simu zote, smartphone na simu ndogo pia.

Anza hivi
SIM toolkit>>Safaricom>>M-PESA>>Lipa na M-PESA>>Pay Bill>>Enter business no.{weka 255255}>>Account no.{no yako ya Vodacom anza na 255_}>>kiasi>>pini
.
Ukimaliza M-Pesa itakuuza "kukata huu muamala bonyeza no yeyote" usibonyeze (u kibonyeza utasitisha malipo.
 
Hivi nyie mnaosema betting kuna hela mnafanyaje.? Maana toka nimeanza kucheza bet kwenye basket nimeshinda mara mbili tu juzi ndio ndio nimekula za uso siyo kitoto.

Mtuelekeze jamani.
Nicheki WhatsApp 0719957092 nitakuadd kwa group la live basketball. Uangalie tunavomliza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…