Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,775
Ulichoandika kinafanana na avetor yako.Tunachoomba kwa Rais wetu atujengee taasisi imara KIKATIBA. Hiyo ndio legacy itakayodumu sana.
Dola ni ileile na chama tawala ni kilekile. Bahati nzuri na viongozi ni walewale awamu zote hizo.
Wanafanya kupokezana kijiti tu na kutesana kunaendelea.
Tuchomoe DOLA ikae pembeni hata kwa wiki moja uone 'uimara' wa CCM yetu ulivyo.
Demokrasia ya ccm imeshikiliwa na Ikulu tu.
Nje ya Ikulu Chama cha mapinduzi ni cha kawaida sana.
Unayoyaona kwenye Vyama vya upinzani leo ndio yawezakuwa ya ccm nje ya Ikulu.
Pasipo ufanisi? Lakini pia tunatofautiana kwenye kuona ufanisi wa Rais ni zaidi ya nchi? Ankal you are not serious.
Binafsi support yangu kwa Rais iliisha siko alipochaguliwa. Mapenzi yangu yalihamia kwa nchi sio kwa kamtu kamoja.
Awamu hii watu wanatekwa, wanashambuliwa kwa risasi, wanabambikiwa kesi zisizo na dhamana. Utaipendaje awamu hii?
mr yamoto.