Uchwara ila akiingia awamu ya piling itakuwa dikteta kamiliKwa hiyo kumbe magufuli ni dictator ?
Mimi kama team lumumba napinga hili sio dictator jamaa kwani sifa za dikteta ni zipi we unazozijua
Mi siamini kami ni dikteta hebu tupe sifa za u dictator hapa