Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo kumbe magufuli ni dictator ?

Mimi kama team lumumba napinga hili sio dictator jamaa kwani sifa za dikteta ni zipi we unazozijua

Mi siamini kami ni dikteta hebu tupe sifa za u dictator hapa
Uchwara ila akiingia awamu ya piling itakuwa dikteta kamili
 
Kwa hiyo kumbe magufuli ni dictator ?

Mimi kama team lumumba napinga hili sio dictator jamaa kwani sifa za dikteta ni zipi we unazozijua

Mi siamini kami ni dikteta hebu tupe sifa za u dictator hapa
Ofcourse he is. Ana amri. Fanya hivi yaani usipofanya alivyokuambia kibarua huna.
Note. Yeye ni dictator kwa kuamrisha na kuweka mambo yaende vizuri na kwa ubora.
Usichanganye na wale madictator wanaotawala kwa mabavu wale wanaoingia madarakani bila kushinda uchaguzi.
Magufuli yeye ni tofauti,tulimchagua na akashinda kihalali kabisa. Na yupo madarakani kwa mujibu wa sharia.
Yeye udictator wake ni kwenye kazi tu. Maendeleo yanakuja kwa kufanya kazi.
 
Kapenda jina na hiyo profile picture. Anadhani sura yako ndiyo hiyo. Hajui kuwa huyo ni actress wa Marekani.
Hivi mtu ukishaanza kutumia jina lako halisi hapa jf kichwa kinajaa pumba au!? Ukitaka kuandika utumbo kama huu tena siku nyingine ni bora ukacheki profile ya mtu ameanza tumia lini jf mpaka ashindwe kujua avatar zinazowekwa na watu hapa ma fake id's...jinga kabisa!..
 
Ofcourse he is. Ana amri. Fanya hivi yaani usipofanya alivyokuambia kibarua huna.
Note. Yeye ni dictator kwa kuamrisha na kuweka mambo yaende vizuri na kwa ubora.
Usichanganye na wale madictator wanaotawala kwa mabavu wale wanaoingia madarakani bila kushinda uchaguzi.
Magufuli yeye ni tofauti,tulimchagua na akashinda kihalali kabisa. Na yupo madarakani kwa mujibu wa sharia.
Yeye udictator wake ni kwenye kazi tu. Maendeleo yanakuja kwa kufanya kazi.
Tupe sifa za dictator sio sifa za magufuli nisaidie hilo dada angu kipenzi

Mimi team lumumba nakupinga magu sio dictator tutajie sifa za dictator sisy
 
Na majority ya watanzania. Kumbuka mtu kuwa Rais si lazima atakiwe na population yote. Majority wakimtaka tu inatosha.
Mbona maelezo meeengi kama shetani, mi nimekuuliza swali fupi tu, wewe na nani?

Anyway, asante kwa majibu mazuri. Mungu akubariki na kukuongoza katika njia zifaazo, akuepusha na mabaraza ya wasio haki na vikao vya mizaha!
 
Hivi mtu ukishaanza kutumia jina lako halisi hapa jf kichwa kinajaa pumba au!? Ukitaka kuandika utumbo kama huu tena siku nyingine ni bora ukacheki profile ya mtu ameanza tumia lini jf mpaka ashindwe kujua avatar zinazowekwa na watu hapa ma fake id's...jinga kabisa!..
Aliyekwambia jina ninalotumia humu ndani ni langu halisi ni Nani?.

Punguza povu mkuu.
 
habari wadau.

nafurahi sana kuona tumepata rais mzalendo mchukia rushwa..

ila najua anakwama sana kuzibiti rushwa... mfano sehemu muhimu kama long room tra, uhamiaji, nida, mafisadi wakubwa etc...

namshauri rais njia nyepesi ya kuzuia rushwa.. ni kunyonga wala rushwa tu kama china..

watu kama wazee wa escrow, kitilya, na wala rushwa wengine kama wamethibitika na rushwa.. unanyonga tu fasta... wengine wataogopa..

magufuli pitisha sheria ya kunyonga wala rushwa..kama una nia ya kufuta rushwa Tanzania
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumpa pongezi nyingi Raisi magufuri kwa uungwana wake mkubwa,Mtu asiyetaka kuweka vitu moyoni,Kiongozi anaeachilia amani ya moyo,hakika Mungu na akubariki sana.

Nape na wenzake wote walioomba msamaha ni jambo la kishujaa mumefanya,maana si raisi sana kwa tamaduni zetu kujishusha,lakin mumeina wapi mumekosea na hamhataka angalia watu wanaongea nin juu yenu basi mumeomba msamaha.

Tanzania ni moja ,wote tutakufa tutaiacha,Mungu ndiye muweza wa yote na ajuaye kesho ya kila mmoja,tuahirikiane,tupendane tuish kwa amani
 
🤔🤔 ... Sijawahi kumuona Magufulia kama Magufuli akiwa na tatizo.. ila nahisi na ninacho kiona falsafa zake hazi fiti na katiba ya Tanzania. Na ndipo hapo tatizo linapo anzia.
 
Mtukufu Rais wa Nchi ya Maziwa na Asali, Ulipochukua madaraka, ulituonya kwamba utawashusha wanaoishi kama mailaika kuishi kama mashetani. Hakika utabiri wako umetimia.

Mr. Kamu.......Ni afisa wa kati wizara ya mifugo. Alipanga nyumba mbezi makonde ambako pia alipaki gari zake mbili za kifahari, Harrier na Mark X, Kila siku asubuhi alichukuliwa na pia kurudishwa jioni kifaharai na gari la walipa kodi almaarufu kama V8 mpya.

Bwana huyu alikuwa na safari nyingi sana ndani na nje ya nchi hadi sisi tukamuona kama kigogo mzito. Watoto wake watatu kati ya wanne walikuwa wakisoma shule za bweni. Ghafla bin vuu, bwana huyu maisha yamebadilika, tena kwa kasi ya ajabu.

Watoto wote watatu wamerudi nyumbani na sasa wanasoma St. Kayumba. Mbezi Makonde kapahama, amehamia kenye nyumba yake eneo la Madale. Nyumba yenyewe inatia huruma, kwani limeezekwa robo tu. Chumba kimoja, jiko na Sebule. Kwingine kote kuko wazi. Kwa hiyo watoto wote, mama mtu na dada wa kazi wanalala sebuleni. Mtu na mkewe na chumba chao. Magari yao mawili yote yameuzwa. Maisha yamekuwa ya kishetani.

Safari za nje, marupurupu, kwisha habari. Ni maisha ya kubanana. Gari la kifahari bado linakuja Madale kumchukua bosi mwenye msongo wa mawazo. Hatujui huko kazini kazi zinafanyikaje. Hatujui hawa ndio wale wanaosaidia maadui wa nchi kulihujumu taifa au la, maana wazi kabisa wanaonyesha kutokuridhika na maisha wanayoyaishi.

Hali imekuwa mbaya hasa ukiangalia watu wanavyoangukia kwenye maisha ya kishetani. Baba legezma
 
Tanzania kwa muda mwingi tumekuwa na shauku ya kumwona Rais anaeona mbali yaani mwenye jicho la tatu. Na namshukuru sana Mungu tumempata kabisa kwasababu amedhamiria kufanya kwa kadri ya uwezo wake.

Nina pata taabu sana kuamini kama walio mzunguka ni wema au wanamuelewa na wanamuongezea maono ya kule anakotaka tuelekee.

Kwanini nauliza hivyo ni kwa sababu critical thinkers wengi wamebakia kusifu na kuabudu tu badala ya kushauri mambo ya maendeleo.

Itatuchukua muda mrefu sana kumpata Rais wa namna hii na ni vyema katika utawala wake afanye yafuatayo.

Moja: atengeneze katiba itakayomfanya Rais aheshimu rasilimali za nchi,tunu za Taifa,Utawala bora na democracy huru.

Nawaona watu wengi sana wakibanwa katika democracy wanakimbilia kwa wazungu hebu tujiulize wazungu hawa wanaweza kutusaidia nini haswa katika maisha yetu zaidi ya kutukamua mali zetu na kutufanya tujihisi hatuwezi inferiority complex.

Rais akitaka kufanikiwa achague vijana katika tawala zake wasio na bases ya wakongwe yaani unknown person wengi ili kutengeneza heshima katika utawala. Wazee wote wawe na chombo chao cha ushauri ambapo Rais atakuwa anakutana nao.

Miaka kumi sio mingi sana kama hakutakuwa na sheria kamili ya kusimamia haya yanayotendeka sasa upo wakati ajaye tatapanya kila kitu na kubakia historia.


3. Tunahitaji watendakazi wanao jiamini na wanajua wanafanya nini wakichaguliwa. Namaanisha utawala wa wanaojitambua.

Elimu iwatengeneze watu wajitegemee sio wanao kariri tu darasan wanamaliza chuo wamejaa majumbani na bado tegemezi kwa wazaz badala ya kwenda kutafuta.

Mengine ongezea .
 
Status
Not open for further replies.
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom