MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,754
Yes na siku alivyotekwa mo na baada ya hapo wananchi walielewa shoo yote wameisha muelewa mkubwa... ni kweli nchi ilikuwa kwenye hamasa kubwa sana by then; hamasa ikaanza kushuka taratibu kadiri siku zilivyokwenda na kufikia kiwango cha chini kabisa siku Tundu Lissu alipopigwa risasi. Kwa hakika siku ile tuliingia "enzi mpya".
Unajuwa, wengi wa watendaji walioko chini hutekeleza amri, maagizo au directives zake… ILA ZIKIBUMA NDO MNAKUJAGA NA MAELEZO KAMA HAYA....Nakumbuka ile vibe ya JPM miezi mitatu ya mwanzo wa utawala wake, I swear that was the best moment,nchi ilihamasika,watu wakaanza hadi kudai risiti wakinunua bidhaa,msisimuko ukarudi kwamba we are heading somewhere as a country.
Najua wengi sasa hivi wamepoteza matumaini ya maisha, Rais akiongea inaonekana kama anadanganya tu,kwa kweli sijui ni kina nani walimshauri baadhi ya maamuzi anayofanya ila ninachoweza kumuambia ni:Mr President get back to what matters,embu fanya yanayosaidia maisha ya watu wa kawaida wewe huwa unawaita wanyonge
Kuna wasaidizi wako wanakusifia tu na kukupamba kinafiki kama huamini angalia video zako mtandaoni ukiwa unahutubia au wakiwa wanakusalimia kuna unyenyekevu wa kinafiki uliopitiliza,wapuuze jamani WNAKUPOTEZA.
wazo zuri ila thread kama hii nadhani ipo tayari humuHii nchi ni yetu sote, kila mmoja ana dhamana ya kuijenga kwa namna inavyopasa, kuanzia raia wa kawaida hadi raia wa kwanza (Rais Magufuli).
Hebu tuzungumze na Rais Magufuli kwenye hii thread kama Rais na kama raia mwenzetu ambaye naye siku si nyingi tutakuwa naye uraiani. Tumkosoe, tumshauri na tumpongeze popote inapobidi.
Karibuni sana!