Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Kwanza kabisa nawasalimu kama ilivyo tamaduni zetu ,kuwasalimia wakubwa na wenye mamlaka,shikamoo
...
Ujumbe wangu ni mfupi sana ila umebeba mengi tu.
Nawaombeni sana tena sana nyie wawili yaani Mh.Rais John Pombe Magufuli na Katibu wa Chama (CCM)Taifa Dr.Bashir Ally kaeni siku moja mtafakari kuhusu HAKI za watanzania. Jiulizeni kweli awamu hii mnatenda haki sawa kwa raia na vyama vingine vya siasa kama haki hiyo inavyotendeka kwa chama chetu cha mapinduzi?
Ujumbe wangu ni huo...tu umebeba mengi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuwa na dhana zote za kilimo ila kilimo cha kutegeme mvua mkuu sahau.Mvua zenyewe si za uhakika hata kidogo ,mimi naamini kabisa tatizo letu hapa Tz haswa kwenye kilimo ni kutokana na uhaba wa mvua na si kingine mkuu.Watanzania wengi huwa wanachagua chama na sio sera
Nadhani kama uraisi ungekuwa taasisi Tanzania now tungekuwa level moja na Brazil
All in all kilimo pia this time jiwe anakipa shavu sema kimya kimya mfano ni wiki iliyopita waziri mkuu alikuwa mwanza anazindua bank ya wakulima na zile trekta za warusi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ni takribani miaka minne tangu Rais wetu John Pombe Manguli kuchanguliwa kuwa rais wa JMT.JPM hakika ameonyesha nia ya dhati ya kutaka kuona nchi yetu inasonga mbele kama zilivyo nchi nyingine ambazo kimsingi zimepiga hatua kwa maendeleo kwa ujumla ukilinganisha na nchi yetu.Nchi husika ni kama Ghana,Botswana,Kenya, na Cotd voire.Nchi kama Misri,Algeria ,South Africa ,Mauritius na Morrocco ni kundi la nchi ambazo kimsingi itachukua takribania miaka mingine mia moja walau kuweza kufukia hatua ya maendeleo waliyokuwa nayo.JPM akiamua kutoa kipaumbele kwenye kilimo cha umwangiliaji kwa nchi nzima ,na nchi ikaachana na kilimo cha kubahatisha yaani kilimo cha kutegemea mvua naamini kabisa ndani ya miaka mitano nchi itafanikiwa kupunguza umaskini kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangia tupate uhuru na tutaweza kuwepo kwenye kundi za nchi nilizotaja za kwanza.Kilimo cha umwangiliaji kitawezaje kupunguza umaskini hapa nchini?
1.Zaidi ya asilimia tisini ya wakulima hapa nchini wanategemea mvua kwa ajili ya shughuli za kilimo.
2. Tumezungungukwa na nchi ambazo zina upungufu wa mazoa ya chakula miaka yote.
3.Masoko kwa ajili ya mazao ya chakula yapo na ni ya uhakika .
4.Kuimarisha kilimo kimsingi itakuwa rahisi kuleta mapinduzi ya viwanda kwani nchi haitakuwa na mahitaji makubwa ya kuagiza mali ghafi toka nje ya nchi.
Nawasilisha ,
Makupa ( mbunge mtarajiwa wa Vunjo kupitia chama tawala )
Mkuu unaweza kuwa na dhaba zote za kilimo ila kilimo cha kutegeme mvua mkuu sahau.Mvua zenyewe si za uhakika hata kidogo ,mimi naamini kabisa tatizo letu hapa Tz haswa kwenye kilimo ni kutokana na uhaba wa mvua na si kingine mkuu.
Mkuu utalii sawa lakini utalii hautaweza ondoa umaskini mkubwa tuliona hasa maeneo ya vijijini ambako zaidi ya asilimia themanini ya watanzania ndiko walipo .Ni kweli nchi inahitaji kilimo cha umwagiliaji
Miaka ya nyuma JK alijaribu huo mpango lkn Israel wakamwambia aandae trilion 36 kufanikisha huo mchakato
So nadhan gharama ndio kikwazo mkuu
Mm naona kitu chepesi kwetu kuinua uchumi wa Tanzania ni UTALII maana tuna kila kitu pia warusi wanatupa saana promo kutangaza vivutio vyetu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Embu tupe mawazo yako mkuu ambayo ni mmbadala ya kuweza kupunguza tatizo la umaskini tulionao kama taifa?Kwa mawazo kama haya..hata ungekuwa upinzani let alone CCM nisingekupa kura!
Mkuu utalii sawa lakini utalii hautaweza ondoa umaskini mkubwa tuliona hasa maeneo ya vijijini ambako zaidi ya asilimia themanini ya watanzania ndiko walipo .
Magufuli alisema anataka watu waishi kama mashetani sasa wewe unapongana na mwenyekiti wako?Ni takribani miaka minne tangu Rais wetu John Pombe Manguli kuchanguliwa kuwa rais wa JMT.JPM hakika ameonyesha nia ya dhati ya kutaka kuona nchi yetu inasonga mbele kama zilivyo nchi nyingine ambazo kimsingi zimepiga hatua kwa maendeleo kwa ujumla ukilinganisha na nchi yetu.Nchi husika ni kama Ghana,Botswana,Kenya, na Cotd voire.Nchi kama Misri,Algeria ,South Africa ,Mauritius na Morrocco ni kundi la nchi ambazo kimsingi itachukua takribania miaka mingine mia moja walau kuweza kufukia hatua ya maendeleo waliyokuwa nayo.JPM akiamua kutoa kipaumbele kwenye kilimo cha umwangiliaji kwa nchi nzima ,na nchi ikaachana na kilimo cha kubahatisha yaani kilimo cha kutegemea mvua naamini kabisa ndani ya miaka mitano nchi itafanikiwa kupunguza umaskini kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangia tupate uhuru na tutaweza kuwepo kwenye kundi za nchi nilizotaja za kwanza.Kilimo cha umwangiliaji kitawezaje kupunguza umaskini hapa nchini?
1.Zaidi ya asilimia tisini ya wakulima hapa nchini wanategemea mvua kwa ajili ya shughuli za kilimo.
2. Tumezungungukwa na nchi ambazo zina upungufu wa mazoa ya chakula miaka yote.
3.Masoko kwa ajili ya mazao ya chakula yapo na ni ya uhakika .
4.Kuimarisha kilimo kimsingi itakuwa rahisi kuleta mapinduzi ya viwanda kwani nchi haitakuwa na mahitaji makubwa ya kuagiza mali ghafi toka nje ya nchi.
Nawasilisha ,
Makupa ( mbunge mtarajiwa wa Vunjo kupitia chama tawala )
Nimekuona mnafiki uliposema "anakipa shavu kimya kimya"...fool!Watanzania wengi huwa wanachagua chama na sio sera
Nadhani kama uraisi ungekuwa taasisi Tanzania now tungekuwa level moja na Brazil
All in all kilimo pia this time jiwe anakipa shavu sema kimya kimya mfano ni wiki iliyopita waziri mkuu alikuwa mwanza anazindua bank ya wakulima na zile trekta za warusi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hii harakati wanaiweza wapinzani tu hawa wako bize kuangusha upinzani tuNi takribani miaka minne tangu Rais wetu John Pombe Manguli kuchanguliwa kuwa rais wa JMT.JPM hakika ameonyesha nia ya dhati ya kutaka kuona nchi yetu inasonga mbele kama zilivyo nchi nyingine ambazo kimsingi zimepiga hatua kwa maendeleo kwa ujumla ukilinganisha na nchi yetu.Nchi husika ni kama Ghana,Botswana,Kenya, na Cotd voire.Nchi kama Misri,Algeria ,South Africa ,Mauritius na Morrocco ni kundi la nchi ambazo kimsingi itachukua takribania miaka mingine mia moja walau kuweza kufukia hatua ya maendeleo waliyokuwa nayo.JPM akiamua kutoa kipaumbele kwenye kilimo cha umwangiliaji kwa nchi nzima ,na nchi ikaachana na kilimo cha kubahatisha yaani kilimo cha kutegemea mvua naamini kabisa ndani ya miaka mitano nchi itafanikiwa kupunguza umaskini kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangia tupate uhuru na tutaweza kuwepo kwenye kundi za nchi nilizotaja za kwanza.Kilimo cha umwangiliaji kitawezaje kupunguza umaskini hapa nchini?