Status
Not open for further replies.
Wapo vidampa kina Lissu na Mfalme Mbowe wanamwagiwa pesa kutoka hapo Ujerumani ili waihujumu Serikali lkn watashindwa tu
 
Rais wetu amesema vema sana kwamba haya magari yanayotumiwa na mashirika yanayohudumia wakimbizi yakimaliza shughuli zao yasiuzwe Bali zipewe Halmashauri husika,rais akapiga pin magari yaliyotarajiwa kuuzwa mwishoni mwa mwaka jana. Sasa wamekuja na mbinu ya kukodi magari ya watu binafsi ili kumchenga rais. Nikipata nafasi namweleza rais wangu. Haya nayo ni majipu.
Hilo wazo zuri yasiuzwe inabidi yabaki katika Halmashauri zetu. Maana ile minada yao hayo magari yanauzwa bei kinoma afu yanakuwa bado mazuri.
Wazungu washenz kweli hawataki kusikia vikao vya ad hoc commitee na tripartite commitee wanajua vikao hivyo kwanza vinawakatalia international protection wakimbizi hao wa kiuchumi na pia vinatoa hatma ya kuwepo kwa makambi ya wakimbizi kupitia go and see; come and tell.
 
Wazungu ni vimeo.
Kila siku nasema ni bora ukutane na simba au chui pale Serengeti kuliko mzungu anayekuchekea kumbe ni mnafiki sana.

Mzungu, anaweza akawa hajui kitu akakuulizia akikielewa atasema yeye ndiye kafanya ni wafeki sana
 
Hakika kutokana na mchango wake kwa wanawake hapa nchini hakuna ubishi mbunge mpya, na mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, mama Salma Kikwete anatosha kuwa waziri wa Wanawake na watoto.

Mama Salma Kikwete amefanya mambo makubwa katika kumkomboa mwanamke kupitia taasisi yake ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).

Hivyo akiwa waziri wa Wizara hii atafanya mambo makubwa zaidi, ukizingatia ana uzoefu mkubwa katika ukombozi wa Wanawake nchini .

Kwa hiyo ni vyema mtukufu Rais John Pombe Magufuli amfikirie kuwa waziri wa wizara hiyo .
 
Inamana unaona mh. Ummy mwalimu amepwaya???
 
Ndio mwisho wa akili yako ulipofikia hicho chama kipo madarakani mwaka 54 huu na ushee kila siku ni kulia lia tu na miahadi isiyotekelezeka kwa ulafi na ubinafsi wa waroho wachache hivi nyie ni nani aliyewaloga ? Yaani saa zingine ukute wewe unajiita msomi kabisaa kazi ipo
 
Hakika kutokana na mchango wake kwa wanawake hapa nchini hakuna ubishi mbunge mpya, na mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, mama Salma Kikwete anatosha kuwa waziri wa Wanawake na watoto.

Mama Salma Kikwete amefanya mambo makubwa katika kumkomboa mwanamke kupitia taasisi yake ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).

Hivyo akiwa waziri wa Wizara hii atafanya mambo makubwa zaidi, ukizingatia ana uzoefu mkubwa katika ukombozi wa Wanawake nchini .

Kwa hiyo ni vyema mtukufu Rais John Pombe Magufuli amfikirie kuwa waziri wa wizara hiyo .
Unamaanisha Rais amuundie Wizara mpya mama Salma Kikwete maana Wizara hiyo haipo Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom