Status
Not open for further replies.
Wakati kila mmoja analalamika kuwa raisi hasikilizi ushauri mie nakupeni nondo kidogo hujue kuwa mheshimiwa raisi anasikiliza na kusoma dondoo mbalimbali ili mradi tuondokane na umaskini.


[*]Ila baba hakika tunapigika ipasavyo tunaomba utulegezee angalau vihela vionekane mheshimiwa.
Vihela vitaonekaje wakati hatufanyi bali deal?
 
Ndugu yangu hebu eleza. Kama wewe ungepata nafasi ya kukutana na Rais John Pombe Magufuli na mkakaa na kupiga story ungemshauri nini.
 
Mi ningemshauri akaze tu uzi sisi tupo pamoja nae. Aache kusikiliza kelele za chura. Malengo na madhumuni yake sisi tumeyaelewa na tunamuunga mkono kwa 289.5%.Selikari iendelee kupanga na kubuni miradi mbali mbali kama alivyoanza. Pia ningemshauri wabunge wote wanaacha kueleza matatizo ya wananchi wao na kushabikia hoja zisizo na msingi majimbo yao yasipewe miradi yoyote ya maendeleo kwani sio kipaumbele chao
 
Mkuu,kwamba yeye hapangiwi cha kufanya hukumkusikia,au unatafuta tu maneno ya kichochezi?,kwamba yeye no dereva wa roli asiye sikiliza kelele za aburia nalo hujalisikia!!.

Mambo ya kutupwa mabwepande au ununio siyataki.
 
Ningemshauri abadili katiba kabisa awe rais wa Barabara, Madaraja, Reli na Ndege kwani ndio mahitaji ya msingi ya Watanzania.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Atunyooshe tu kwan hakuna jins watu walipiga dili mno ila aangalie maslah ya watumish wa umma kwan wana aibika mno kitaa
 
Aangalie na serikali yake suala la mfumuko wa bei ya vyakula, hawa watu wanyonge wanaosema wanatusaidia hatuwezi kumudu gharama za bei za vyakula mfano Sembe kwasasa ni sh 2200 hadi 2300 kwa kilo, sukari 2600 kwahiyo gharama za maisha zimekuwa juu na pesa ngumu kupatikana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom