MAGAMBA MATATU

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
646
1,174
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro.

Kuna wakati inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea, ndicho ulichokifanya. Uliwaacha Watanzanja waongee yao ya moyoni mpaka walizike, na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote, ulikaa kimya kama ambavyo mimi Magamba Matatu huwa nakaa kimya, kwa mwaka naweza toa post moja tu kwa mwaka JamiiForums, au nisitoe kabisa. Hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "Nimeambiwa niwe kimya".

Hilo umefaulu na hatimaye mama kama Mwenyekiti wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama Kiongozi, ulitimiza wajibu wako kama Mkuu wa Mkoa toka kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa, ni wajibu utimize mamlaka uliyopewa. Japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndio umepotezwa ndani ya chama baada ya Jemedali Magufuli kutoka,

Sasa Chama kimekuamini na kujua ulitimiza wajibu toka kwa mamlaka. Narudia, welcome bro, japo wanafiki utawaona wakirudi kwako kwa mgongo wa nyuma, najua wewe ni smart thinker.

Nne, hapa msiponielewa mtanielewa baada ya miaka 7 ijayo na mtarudi na kuitafuta hii thread. Huyu Makonda atakuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti mwaka 2025 na zaidi atagombea Urais 2030 na atakuwa the next Magufuli. Kama hutaki nenda Lumumba Head Office, mvue cheo hiki alichopewa leo!

Welcome bro.

Jion njema!
 
noted with thanks.

Binafsi sina wasiwasi na andiko lako ukiangalia heshima na umuhimu wa threads zako.

Lakini mkuu nakukumbusha ahadi yako kwetu kuwa utatoa mwelekeo wa nchi. Tafadhari usitusahau tunasubiri kwa hali na mali.

Ahsante!
 
Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,,
Pili nawasalimu Kwa jina la CCM,
Tatu karibu sana Brother,nakutana mara tatu Makonda,makonda,makonda.
Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,,
Narudia karibu sana Lumumba head office bro.

Kuna wakat inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea,ndicho ulichokifanya,uliwaacha Watanzanja waongee Yao ya moyoni mpaka walizike,na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote,Ulikaa kimya kama ambavyo Mimi MAGAMBA MATATU hua nakaa kimya Kwa mwaka naweza toa Post Moja tu Kwa mwaka Jamii forum,au nisitoe kabisa,,hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "nimeambiwa niwe kimya "

Hilo umefaulu na hatimae mama kama mwenyekit wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama kiongozi,ulitimiza wajibu wako kama mkuu wa mkoa toka Kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa ni wajibu utimize mamla uliyopewa,japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndo umepotezwa ndani ya Chama baada ya Jemedali Magu kutoka,

Sasa Chama kimekuamin na kujua ulitimiza wajibu toka Kwa mamlaka, Narudia WELCOME BRO,japo wanafiki utawaona wakirud kwako Kwa mgongo wa NYUMA,najua ww n smart thinker.

Nne,hapa msiponielewa mtanielewa baada ya Miaka 7 ijayo na mtarud na kunitafuta hii thread,,Huyu Makonda atakuwa waziri kwenye wizara nyeti mwaka 2025 na Zaid atagonbea urais 2030 na atakua the Next Magu,,kama hutaki nenda rumumba head office mvue cheo hiki alichopewa Leo..

Welcome bro..

Jion njema!

..kwa hiyo Doto Biteko mmeshamtupa?
 
Back
Top Bottom