Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

Barakoa 001

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
5,434
Reaction score
14,896
Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!!

Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani?

Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza.

Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa)

Tazama hiyo video hapo chini utakuja kunishukuru

Nb: Tazama video mpaka mwisho.


View: https://youtu.be/mTVOK9qS-vQ?si=NZppmwU5H3xVVpfZ
 
Back
Top Bottom