wassira

  1. Vichekesho

    Maoni Binafsi: Mzee Wassira alipaswa kuwa Rais wa hii nchi

    Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi. Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa lazima hata kama hataki, atuongoze kwa miaka 5 tu.
  2. Suley2019

    Mzee Wassira apinga CHADEMA kufanya maandamano. Adai viongozi wa chama hicho wanajua utaratibu

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na ugumu wa maisha akisema ni dalili ya kupungua kwa uvumilivu nchini. Wasira amesema hayo leo Januari...
  3. GENTAMYCINE

    Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

    Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.
  4. Wadiz

    Wassira ahusisha sakata la bandari na mbio za urais 2025

    Hello JF, Hivi Wassira ni mwehu kiasi hicho? Kuna mtu alimlazimisha Rais Hassan kumtuma Mbarawa kwa maandishi? Timu ya wabunge kwenda Dubai ilijipeleka? Wasanii walijipeleka, bendera ya Tanzania ilijipandisha kule Dubai. Wassira awe makini sana uvuvuzela wake hautawasaidia chochote ifahamike...
  5. S

    Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  6. Idugunde

    Wassira: Mnataka serikali za majimbo mnafahamu zilivyo na gharama au mnaigiza tu

    Hoja ya serikari za majimbo inayopigiwa chapuo na CHADEMA haina tija.Tanzania ina ukubwa sawa na jimbo la Texas. Kuwa na majimbo yenye magavana, mabunge na mabaraza ya mawaziri ni kuongeza gharama za utawala. Bunge moja tunalalamika sembuse mabunge 20. Tuache kuigiza"
  7. J

    Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

    Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika. Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana. Ukweli Mchungu!
  8. Replica

    Wassira: Waziri aseme watakaolipa kodi ni wale wenye uwezo, miaka haina maana

    "Waziri aseme watakaolipa kodi ni wale wenye uwezo, miaka haina maana, hapo unaweza ukaleta crisis ya bure tu watu wataanza kusema wana miaka 17 sababu ikifika 18 watafikiri utadaiwa, vijana wetu tatizo kubwa ni ajira, hivyo tusiwababaishe,"- Stephen Wasira
  9. J

    Wassira asema CHADEMA iliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni Sangara. Asisitiza Serikali 3 ni mwiko

    Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo. Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga...
  10. Mtu Asiyejulikana

    Stephen Wassira wewe siyo wa kumsema/ kumbagaza Kikwete namna hii. Umesahau Fadhila?

    Maana yake kikwete alikidhoofisha chama? Maana yake Rais aliyekuwepo madarakani na mwenyekiti alikifanya chama kiwe dhaifu mpaka kukosa mvuto? Wewe leo hii ni wa kumbagaza kikwete? Kuonesha kuwa alikuwa dhaifu? Ni nani alisababisha hiki chama kushinda mwaka 2015? Pamoja na udhaifu wake? Ni nani?
  11. TODAYS

    Mzee Wassira: Ujenzi wa Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere sifa wapewe wananchi wa Mara na siyo Serikali

    Mzee Wassira ni mmoja kati ya wazee ambao huwa haonyeshi kucheka cheka pale anapoongelea jambo, mfano aliongelea jambo urais ambao wengi wanaonyesha nia wkt huu na kusema muda wao bado na hata yeye aliwahi kuutaka ila kwa sababu ya muda basi muda wake umepita na hawezi tena. Mimi ni mmoja kati...
  12. GENTAMYCINE

    Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  13. J

    Siasa ni sayansi: Mzee Wassira aliingia bungeni kwa mara ya kwanza miaka 50 iliyopita miaka 10 baadae alizaliwa mbunge wa sasa Bulaya!

    Kwa kifupi ni kwamba mzee Stephen Wassira yuko bungeni kabla CCM haijazaliwa na mbunge wa sasa Esther Bulaya alizaliwa baada ya CCM kuasisiwa. Ya kale dhahabu. Maendeleo hayana vyama!
  14. Pdidy

    Mzee Wassira acha na wanao wale mema ya nchi

    Najua hakuna anayekubali kusema imetosha. Mzee Wassira basi ungesikiliza vid ya Makongoro usome nyakati Mzee wangu nimeshtuka kuona umerudi tena kana kwamba hilo jimbo ni la ukoo ama hakuna wengine wa kugombea. Najua CCM ya sasa sio ile ya pindi ile, na makosa ama kosa kubwa watakalojutia na...
  15. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Wazee ni Hazina , Mkongwe Steven Wassira achukua fomu ya kugombea Ubunge Bunda

    Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya . Mytake : Wassira bado yupo
  16. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

    Mzee bado hajakata tamaa na ameyatamka hayo hadharani kwenye vikao vya ccm Dodoma alipohojiwa na waandishi wa habari
  17. J

    Tetesi: Mzee Wassira kuhamia CHADEMA

    Kuna tetesi hapa jijini Dodoma kuwa kada mkongwe wa CCM aliyewahi kuhudumu Nccr mageuzi mzee Stephen Wassira atajiunga Chadema. Inadaiwa kuwa mzee Wassira amechukua uamuzi huo bila kuweka bayana sababu za kufanya maamuzi hayo. Tusubiri, muda ni msema kweli. Maendeleo hayana vyama!
  18. B

    Stephen Wassira: Nini maana ya uongozi wa kimkakati?

    February 10, 2020 Dar es Salaam, Tanzania Mwanasiasa mkongwe Ndugu Stephen Wassira anashusha madini kuhusu Uongozi wa kimkakati akihojiwa na watangazaji Sam Sasali, Hassan Ngoma na Babbie Kabae Stephen Wassira ambaye zamani alipata kuwa kiongozi ktk nafasi ya uWaziri, mkuu wa mkoa, mbunge na...
  19. M

    Nafasi ya Jafo ingemfaa sana Steven Wassira

    Kila utawala huwa una watu wanaoufanya utawala huo uonekane, kwa mfano katika utawala wa awamu ya Nne Magufuli alikuwa ni Icon. Kazi alizozifanya na kujituma kwake kulikonga nyoyo za watanzania na ni vigumu leo kutenganisha kupanda ngazi ya mamlaka kwa Magufuli na kazi alizozifanya akiwa waziri...
  20. chiembe

    Wassira amgomea JPM, asema halipi deni la Commodity Import Support. Akataa wito, Task Force kutuma Polisi. Yeye adai yuko tayari kupigwa pingu!

    Kumekucha! Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo. Wasira ambaye anakiri kukopa milioni mia moja miaka ya tisini,anasema alikuwa na makubaliano ya kulipa benki ya T.I.B, na...
Back
Top Bottom