Watawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi
Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !
Sasa wana...
Baada ya Hilda Newton kumuanika Fortunus Buyobe mwamba alikuwa na wakati mgumu. Story ilikuwa juu yake kila. Kila akijaribu kujijitetea kwa kuposti risiti za AI wapi. Fortunus akatrend.
Hatimaye Mungu akamsikia ilipofika Jumanne Arsenal kutwaa ubingwa baada ya City kudraw na Bournemouth watu...
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
Ni wazi sasa kiongozi wa watekaji anaitwa Mafwete ambaye ni Polisi na yeye ndiye aliyeenda kumchukua Polepole eti leo anasema anafanya msako wa kutafuta na kubaini walio mshambulia msaidizi wa Lissu wakati yeye ndiye kiongozi wa genge! Yeye ajui wenzake hao mafisadi watakimbilia Oman na Dubai...
US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha".
Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA.
Na nyinyi Jiandaeni, Tena nyinyi Kipigo Chenu ni Cha Mbwa Koko
Soma pia Mafwele azuiwa kuingia...
Makonda na Mafwele ni viongozi katika taifa letu na wana wajibu mkubwa wa kusaidia mashindano ya afcon 2027 yanafanyika kwa kiwango kikubwa na ufanisi.
Hivyo kwa nafasi zao nawashauri kwa nia njema kabisa waende USA kupata uzoefu wa kusimamia matukio makubwa ya kimichezo
Ikumbukwe USA wana...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeweka vikwazo vya usafiri kwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Faustine Jackson Mafwele.
Taarifa iliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio imesema kuwa kutokana na taarifa za kuaminika, Mafwele alihusika katika ukiukaji mkubwa wa...
Magufuli alimtumbua Makonda ili kujitenge mbali na uchafu wake sidhani kama Samia atakubali kuwa mnyonge kwa Marekani kama mtangulizi wake.
Nategemea Samia badala ya kumtumbua Mafwele atamteua awe IGP kamili, kuonyesha jeuri kuwa hatuingiliwi na mtu, ili kuendeleza slogan yake ya 'Who are you'.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
Kwa sasa utaenjoy kuskia sauti za unaowaua wakiwa wanalia kuomba usiwauwe na unawaua! Amini nakuambia watu dhalimu kama wewe huwa hawafi mapema! Mungu huwa anawaacha ili watumikie dhambi zao hapa hapa duniani!
Nakukumbusha tu CCM wakishamaliza episode hii basi utapukutika!
America pia hawako...
HILI LIWE FUNZO KWA MAFWELE NA GENGE LAKE.
SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho katika mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia, wala pa kupinga. Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Jaji Stellah...
Wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚
Sote tunajua kuwa mtu huyu...
Wanabodi,
Hili jina la mtu anayeitwa Mafwele, sasa linatumika vibaya, kulitumia kuwatishia watu kwa kumsingizia kila kunapotokea tukio la utekaji au mtu kupotezwa, the most recent ni kauli za mtl anayejitambulisha kama Kaka yake Polepole, anayejinasibu kama mwanajeshi wa JWTZ mwenye cheo cha...
Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.
Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.
No way , potelea mbali !!!.
Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
Nashangaa sana kuona ni namna gani wabongo wanavyoweza uwa brainwashed.
Kuna habari mitandaoni zinasambaa kama moto kwenye kichaka kwamba mafwele "kawajibishwa" kwa namna flani.
Kwa jinsi hali ya sasa ilivyo wenye ishu ya uwajibikaji hapa nchini, kweli kabisa watu wanaamini hii propaganda...
Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya.
Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul...
Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security...
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?
Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja
Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.