mzumbe

Mzumbe University (MU; Swahili: Chuo Kikuu Mzumbe) is a public university in Mzumbe, Tanzania, near Morogoro. It was established in 2001.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, mhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine kusoma Bachelor of Procurement and supply chain management (Mzumbe) ina tija kwenye soko la ajira?

    Habari zenu, Mdogo wangu ni muhitimu wa Diploma ya Clinical Medicine na amechaguliwa Bachelor of Procurement and Supply Chain Management Mzumbe. Wataalamu mbalimbali mnaonaje mchanganyiko huu kwenye soko la ajira?
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumelipia kimakosa masomo yangu ya Uzamili niliyokuwa nimesimamisha, chuo kinazungusha kurudisha fedha hizo

    Nimehitimu shahada yangu katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mwaka 2023. Mwezi Novemba mwaka huo huo, nilipata admission ya kuendelea na masomo ya uzamili (Master’s), lakini sikuweza kuripoti chuoni kwa sababu mdogo wangu, ambaye alikuwa ameanza shahada Mzumbe Campus, Mbeya, alipata mkopo mdogo kutoka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PAC Yaibana Mzumbe: Yabaini Ukiukwaji wa Sheria Kwenye Manunuzi ya Bilioni 29.7

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema haijaridhishwa na utekelezaji wa baadhi ya manunuzi yaliyofanywa na Chuo Kikuu cha Mzumbe, baada ya kubaini ukiukwaji wa sheria na taratibu za manunuzi katika hoja zilizowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Mzumbe-Morogoro anafanya Elimu kuwa Biashara

    Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waliosoma BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT – Mzumbe hakuna ajira zao zinazotangazwa

    Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro. Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo wanazidi kuhitimu na kurundikana mtaani pila kujua hatima yao wapi watatumia elimu yao waliyoipata...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tutatenga fedha za kujenga barabara ya kuelekea Kampasi ya Mzumbe Tanga - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaahidi wananchi wa Mkinga kuwa katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 kupitia TARURA itatengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 16 kwa kiwango cha changarawe, ambazo zitaunganisha Chuo cha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu Mzumbe Msiite watu kwenye saili ili-hali mnajua tayari mna watu mmewaandaa

    Tarehe 01 na tarehe 02 kulifanyika usaili wa wanataaluma Chuo Kikuu Mzumbe. Kumekuwa na utaratibu usiowazi wa kuwapata vijana wanaojitolea, na hawa ndo wamekua wanufaika wa hizi ajira zinazotangazwa. Baada ya malalamiko kwenye usaili wa 2023, wakaamua kuacha hata kuweka hadharani majina ya...
  8. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  9. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni makosa Mzumbe, Ilboru, Kibaha, etc kuitwa shule ya vipaji maalumu?

    Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A. Hii...
  11. Montania

    JamiiForums Tanzania Tutorial assistant in acc & fin- Mzumbe university

    MODE OF APPLICATION Application letters accompanied by a detailed Curriculum Vitae (CV) with a passport size photograph and signed by the applicant; and copies of relevant certificates and transcripts should reach the undersigned electronically through the Recruitment Portal, not later than two...
  12. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
Back
Top Bottom