Vipi Faru John amemaliza ngonjera zake au?mumeo anakuita ukampe uzima wake
Mwamva kawavusha wakina Mdee. Achana na utamu wa ruzuku wewe.Mbowe kama mbowe!!!!
Jinyonge basi ukose buku Saba za polepoleMjinga wewe mwenye bakuli huyo mlevi, nyumbu mmeambiwa na mwenye saccos hawawatambui hao covid 19.
Hayo maamuzi kwa ajili ya nyumbu tu HAKUNA adhabu yoyote.
Halafu mtatapatapa kwa kushangilia mr dj zero kwa kusema tu hawawatambui!
Dada magu2016 kama bado mnasumbuliwa na muwasho,kunyweni dazban inaponya ndani ya sekunde.msalimie jobu na mahera waaambie hawajawahi kua na akili zaidi ya kuwazia matumbo yaoKama kughushi basi itakuwa wanasaccos hapo Ufipa. Ngoja tusubiri hotuba ya Faru John nasikia anaongea na wanahabari leo saa tatu usiku. Sijui ataweza wakati Faru John atakuwa yuko kichwani.
Hii ndio tulikuwa tunataka kusikia.Fukuza kabisa."Kamati Kuu ya ChademaTz imewavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum kwa kosa la utovu wa nidhamu na usali" Mhe. Freeman Mbowe
"Kamati Kuu ya ChademaTz imewavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum kwa kosa la utovu wa nidhamu na usali" Mhe. Freeman MboweNaona hata hujasoma vizuri habari ni Wapi umesiki wamesema kuwa wamefukuzwa/futwa uanachama?
Ndo maana mnaitwa Nyumbu.
Wakifukuzwa ni tagFukuzilia mbali wasaliti
Hii ndio Chadema sasa
Acha kukurupuka mzeFukuzilia mbali wasaliti
Hii ndio Chadema sasa
Yah nimaamuzi stahiki kabisa kwa wasaliti, ingawa najiuliza kwa nini yamechelewa kutolewa. Yaani walichofanya viongozi wa cdm ni sawa umelala jamaa kakuvizia kakugegeda na wewe kwa hasira unamtia doleHahahahaha, ndio maamuzi uliyokuwa unayasubiri?
Labda jobu cd4 na mahera ndio wajiuzulunamuona Mnyika atakavyo jiuzulu...tusubiri tu
Wewe inaelekea hata kusoma hujuiSisi chadema ni matajiri hatutangulizi matumbo kwisha habari yao.