Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Watuhumiwa walikata rufaa, kikao kilichotakiwa kujadili na kuamua rufaa yao mpaka leo hakijakaa.
hili ndio nilikua najiuliza na kumuuliza 😳😳😳😳
Walitakiwa kusikilizwa baada muda gani? Na taratibu za bunge zikoje kwa hilo?
Chadema buana😎😎
 
Hii yote ilikuwa ni akili ya Bwana John Magufuli, huyu jamaa kaivuruga sana hii nchi. Mungu amefanya kitu cha maana sana kwani alikuwa msalaba mkubwa na mzito katika migongo ya watanzania.

Now that he is at rest and so are the people of Tanzania.
 
116 Reactions
Reply
Back
Top Bottom