miaka mingapi?Mdee kaitumia Chadema kama toileta paper kwa 15 years kama Mbunge lakin ilipofika kuchagua Pesa au chama kachagua Pesa
Baada ya mika miwili utaona wanarudi kwenye uongozi. Walicho kifanya nikuwatoa kwenye uongozi ilo wa concentrate na Bunge tu.Hawana haja na uongozi, haha yao NI ubunge na uanachama. Kama mmewavua uongozi na mmewaacha ni wanachama wanauwezo wa kugombea Tena.
Njaa mbaya.
Nyumbu hovyo kabisa.
Chama ndio limekusa kanuni ya mwambenism itatumika na hawa wabunge wataendelea kupiga kazi kama kawa#BREAKING:Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua Wanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge wa Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
***** imekuuma ee , na tumewatimua Sasa, huko kwenu wawekwe Baraza jipya wakati nyingi malamba matangaHotuba ndeefu, kumbe upuuzi tu! DJ busara itoke wapi?
Adhabu ingebakia kuwafuta uongozi. HahahhahahaHivi wangekuwa hawana nyadhifa zozote za uongozi wangepewa adhabu gani?
HEBU TUWEKE SAWA, HAWA WAMEVULIWA UANACHAMA AU NYADHIFA MKUU-"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
Vyote mkuuHEBU TUWEKE SAWA, HAWA WAMEVULIWA UANACHAMA AU NYADHIFA MKUU
Chato imeingiaje hapa? Au umetumia miguu kujibu uzi huuNajutia chato kuwa ndani ya mipaka ya Tanzania