Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Dada magu2016 kama bado mnasumbuliwa na muwasho,kunyweni dazban inaponya ndani ya sekunde.msalimie jobu na mahera waaambie hawajawahi kua na akili zaidi ya kuwazia matumbo yao
Vipi mbona sijakuelewa mkuu? Vipi umeshapiga Faru John nini?
 
Cheka tu maana nimecheka mpaka basi. Achana na pesa bwana hasa ukiwa na njaa
Kuna maamuzi mawili yamefanyika
1.kuwavua vyeo vyao waliokuwa viongozi kwenye mabaraza yao
2.kamati kuu imeazimia kuwavua uanachama wote covid 19
Hii ya pili ni process ndio Maana Chairman amesema kamati imekubali kuwavua next step itafuata
Hata Membe wakati wanamvua uanachama CCM kamati kuu ya CCM ilikaa zaidi ya Mara Mbili ndio uamumuzi ukatoka
 
Yah nimaamuzi stahiki kabisa kwa wasaliti, ingawa najiuliza kwa nini yamechelewa kutolewa. Yaani walichofanya viongozi wa cdm ni sawa umelala jamaa kakuvizia kakugegeda na wewe kwa hasira unamtia dole
Umeelewa lakini kilichoamuliwa!!! Ama kweli nyumbu nyumbuni
 
"Nitakuwa wa mwisho kuhujumu chama hiki, sijamtuma yeyote, siwezi, Chadema ni future ya Tanzania, nazungumza kama mwenyekiti wa Chadema with authority, na hiyo ndio endorsement, and that is MBOWE. Ahsante"
Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe
Leo nimemheshimu sana huyu Mwamba...... Tokea amtimue Zitto leo kaonyesha ujasiri mkubwa bila kuangalia sura ya mtu.

It's a matter of principles...... Sasa tuone Mdee atahamia CCM alipodai wamemuibia kura?
 
Vile MATAGA wamepanic!
1583239622_1583239622-picsay.jpg
 
Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.

Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.

Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(tuhuma za kugushi na nyinginezo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.

Hii Press inasubiriwa na kufuatiliwa kama fainali ya World Cup!
Kifupi upinzani hakuna wapo kuchumia matumbo sio kutetea wananchi!
 
Tunasubiri kwa hamu sana.Hata Jiwe ataukuwa ametega sikio huku pressure inapanda na kushuka.

Mpaka sasa dalili zinanionyesha kuwa Kamati Kuu imelamba vichwa vya wasaliti wote.

Alafu Ili kuthibitisha kuwa CHADEMA hawahusiki na huo uteuzi wa hao wasaliti, moja ya maamuzi ya kikao iwe ni kulitaka Jeshi la Polisi, tena kwa kuwaandikia barua rasimi, wachunguze sakata hili(tuhuma za kugushi na nyinginezo) bila kujali Polisi watachukua hatua au laa na CHADEMA waahidi ushirikiano alafu tuone kama kunakitachofanyika.

Hii Press inasubiriwa na kufuatiliwa kama fainali ya World Cup!
Polisi hawa hawa, waliomuapia Mbowe kuwa hatashinda?
 
Back
Top Bottom