Halima Mdee na wenzake 18 ni sawa na watumishi wenye vyeti fake wanalipwa mishahara licha ya kutokuwa wabunge

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,486
2,356
Najaribu kuwaza kilichowapata wafanyakazi wenye vyeti fake walibainika kuwa hawana vyeti halali ili kuhalalisha ajira zao.Wafanyakazi hao waliondolewa haraka serikalini na kusitisha mishahara yao na report ya CAG ikataja na fedha walizokuwa wanalipwa kama mishahara.

Halima mdee na wenzake 18 ni sawa na wafanyakazi wenye vyeti fake kwani ubunge wao umethibitika kuwa sio halali kwa kufukuzwa uanachama na chama chao na ufukuzaji huo ukathibitishwa na mahakama kuu kuwa chadema ilifanya uamuzi sahihi kwa mujibu wa katiba yao.Kinachoshangaza ni pamoja na kuthibitika huko kuwa sio wanachama bado wapo bungeni wanaendelea kulipwa mishahara kama wabunge wakati hawana uanachama na kutokuwa na uanachama ni moja ya sifa za kuenguliwa ubunge kwa mujibu wa katiba.

Swali je report ya cag inasemaje juu ya mishahara wanayolipwa halima mdee na wenzake 18 wakati sio wanachama na hivyo sio wabunge kwa mujibu wa katiba?

Je ni halali kuwalipa mishahara wakati hawana sifa ya ubunge?

Nilitarajia mwenezi wa ccm mzee makalla aiagize TAKUKURU ichunguze kwanini halima mdee na wenzake 18 wanalipwa mishahara wakati chama chao kilikwishawafukuza.
 
Najaribu kuwaza kilichowapata Wafanyakazi wenye Vyeti Fake Walibainika kuwa hawana Vyeti halali ili kuhalalisha AJIRA zao.Wafanyakazi hao Waliondolewa haraka Serikalini na kusitisha Mishahara yao na Report ya CAG ikataja na Fedha walizokuwa wanalipwa kama Mishahara.
Halima Mdee na Wenzake 18 ni sawa na Wafanyakazi wenye Vyeti Fake kwani UBUNGE wao umethibitika kuwa sio halali kwa kufukuzwa UANACHAMA na Chama chao na ufukuzaji huo ukathibitishwa na MAHAKAMA KUU kuwa Chadema ilifanya Uamuzi sahihi kwa Mujibu wa Katiba yao.Kinachoshangaza ni pamoja na kuthibitika huko kuwa sio Wanachama bado wapo BUNGENI wanaendelea kulipwa Mishahara kama WABUNGE wakati Hawana uanachama na kutokuwa na uanachama ni moja ya Sifa za kuenguliwa UBUNGE kwa MUJIBU wa KATIBA.
Swali Je Report ya CAG inasemaje juu ya MISHAHARA wanayolipwa Halima Mdee na Wenzake 18 wakati sio Wanachama na hivyo Sio Wabunge kwa Mujibu wa KATIBA?
Je ni HALALI kuwalipa MISHAHARA wakati hawana SIFA ya UBUNGE?
Nilitarajia Mwenezi wa CCM MZEE Makalla aiagize TAKUKURU ichunguze kwanini HALIMA MDEE na Wenzake 18 WANALIPWA MISHAHARA wakati Chama chao kilikwishawafukuza.
Ni Wanawake shupavu sana, wastahimilivu, madhubuti na majasiri sana kuyadhibiti madhulumati ndani ya chama chao, yaliyojaribu kuwakana, kupoka haki zao na kuwanyanyasa kibabe kwenye chama chao ๐Ÿ’

Naona kibaraka amepanikishwa na halima mdee majuzi na sasa anabwekabweka tu majukwaani ๐Ÿ’

Wanawake wote nchini wana haki ya kujivunia Wanawake hawa na kwakweli wana kitu cha kujifunza kutoka kwao ๐Ÿ’
 
NI Tanzania na Africa ndiyo unaweza kukutana na hii mambo, kupindisha Katiba na Sheria kwa makusudi sababu una mamlaka hayo ili mambo yako yakae sawa.
 
Ni Wanawake shupavu sana, wastahimilivu, madhubuti na majasiri sana kuyadhibiti madhulumati ndani ya chama chao, yaliyojaribu kuwakana, kupoka haki zao na kuwanyanyasa kibabe kwenye chama chao ๐Ÿ’

Naona kibaraka amepanikishwa na halima mdee majuzi na sasa anabwekabweka tu majukwaani ๐Ÿ’

Wanawake wote nchini wana haki ya kujivunia Wanawake hawa na kwakweli wana kitu cha kujifunza kutoka kwao ๐Ÿ’
Wewe naona haujii kinachoendelea, bora ungekaa kimya.
 
Ni Wanawake shupavu sana, wastahimilivu, madhubuti na majasiri sana kuyadhibiti madhulumati ndani ya chama chao, yaliyojaribu kuwakana, kupoka haki zao na kuwanyanyasa kibabe kwenye chama chao ๐Ÿ’

Naona kibaraka amepanikishwa na halima mdee majuzi na sasa anabwekabweka tu majukwaani ๐Ÿ’

Wanawake wote nchini wana haki ya kujivunia Wanawake hawa na kwakweli wana kitu cha kujifunza kutoka kwao ๐Ÿ’
Waje huko UWT muungane nao
 
Ni Wanawake shupavu sana, wastahimilivu, madhubuti na majasiri sana kuyadhibiti madhulumati ndani ya chama chao, yaliyojaribu kuwakana, kupoka haki zao na kuwanyanyasa kibabe kwenye chama chao

Naona kibaraka amepanikishwa na halima mdee majuzi na sasa anabwekabweka tu majukwaani

Wanawake wote nchini wana haki ya kujivunia Wanawake hawa na kwakweli wana kitu cha kujifunza kutoka kwao
Ujinga mwingi tetea hata katiba basi
 
Ni Wanawake shupavu sana, wastahimilivu, madhubuti na majasiri sana kuyadhibiti madhulumati ndani ya chama chao, yaliyojaribu kuwakana, kupoka haki zao na kuwanyanyasa kibabe kwenye chama chao ๐Ÿ’

Naona kibaraka amepanikishwa na halima mdee majuzi na sasa anabwekabweka tu majukwaani ๐Ÿ’

Wanawake wote nchini wana haki ya kujivunia Wanawake hawa na kwakweli wana kitu cha kujifunza kutoka kwao ๐Ÿ’
covid-19 ni wajasiriamali wa kisiasa kwa hisani ya ccm
 
Back
Top Bottom