Hii timu inaruhusu sana magoli kwenye safu yake ya ulinzi. Yaani ni kawaida sana kuiona imeshinda 4-2, 2-1, nk. Ukija upande wa pili, mambo ni tofauti kabisa.
Kabisa timu yao beki zake ni 🚮 wale waarabu kwa mpira ule wakija hapa wakicheza na yanga watakufa mapema sana
 
Hawaamini macho yao kutokana na matokeo ya sare ya 2-2! Tena kwenye uwanja wa nyumbani!!

Kimahesabu kilicholindwa hapo ni heshima tu ya kutokufungwa. Zaidi ya hapo, mnafahamu fika mkifika Cairo Misri, ni kichapo tu. Ila msiumie sana. Kaka zenu Yanga watakuja kuwafuta machozi.
Bwana wee kunywa maji ushushe jazba...hayo hayatuhusu kwa sasa tunawacheka nyie mlotaga mayai...
 
Kusema ukweli hata kama hatujafungwa lakini haya magoli siyo ya kushangilia, sababu japokuwa tumetoka draw ila kwenye aggregates ni kama tumefungwa tu, huko kwao tuna shughuli pevu ambayo siyo rahisi sisi kutoka salama
Magoli yapi ya kushangilia
 
Kwani kuna mtu nilimtukana humu jukwaani baada ya kufungwa na hao Ihefu? Au kuna mtu nilimzuia kutoa maoni yake humu jukwaani?

Jibu ni hapana! Mimi kama mimi nilimshutumu tu kocha kwa kupanga kikosi cha wachezaji wengi wasio na match fitness. Mechi iliyofuata alipanga kikosi kizuri na tukapata ushindi.

Ushauri; tujitahidi kuvumiliana. Hata kama hufurahishwi na maoni ya mjumbe mwingine.
Ila uwe unaangalia na mahali pa kuleta hoja zako au muda...watu tumefurahi na matokeo yetu ww unaleta negativity zako..any way pole mpendwa jirani msamehe...
 
JamiiForums-1491104409.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom